Mayai ya Bata bukini yanatotolewa baada ya muda gani kwenye Incubetor?.

J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,552
1,512
Nimenunua mayai 10 ya bata Bukin nitaka nipekeke yakatotolewe kwenye incubetor ila sijajua yatatotolewa kwa mda gan naomba kama kuna anayejua anifahamishe.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkuu unawezza ukawa umepoteza hela .Mimi ni mfugani wa hawa bata for 11 years now nikiwa na akili timamu.uwezekano wa kuanguliwa na mashine ni asilimia 10.Labda uwawekee kuku wanaweza.ila changamoto nyingine uliyashikaje hadi kuyatunza.Mkuu ungejiuliza kwa nini hawa wanyama wako wachache na siyo wengi?jibu rahisi ni kuwa wanataga mara mbili kwa mwaka na mayai yake yako delicate balaa.usiache kuja kutupa mrejesho
 
Mkuu umemaliza kila kitu
Leo Bukini wangu ametoa vifaranga 3 kati ya Mayai 7 ..... nashukuru mungu
 
kama ametoa vitatu usimtoe kwenye mayai atarudi na probably ataangua mengine usihofu mkuu mpe cku nyingine tano kwenye mayai anaweza akaangua 6 na ilo la saba ni ngumu maana ndo la kwanza kuanzwa kutagwa
 
mkuu

Asante sana mkuu ..... ameshatoa mwingine wa 4
 
Mkuu unawezza ukawa umepoteza hela .Mimi ni mfugani wa hawa bata for 11 years now nikiwa na akili timamu.uwezekano wa kuanguliwa na mashine ni asilimia 10.Labda uwawekee kuku wanaweza.ila changamoto nyingine uliyashikaje hadi kuyatunza.Mkuu ungejiuliza kwa nini hawa wanyama wako wachache na siyo wengi?jibu rahisi ni kuwa wanataga mara mbili kwa mwaka na mayai yake yako delicate balaa.usiache kuja kutupa mrejesho

Dah...! Sikujua haya yote nilishika kawaida tu kama mayai mengine na yote yametagwa ndani ya week hii na nimeletewa mawili mawili yan kila akitaga jamaa analeya, then nimeyaweka kwenye kibox nikayaweka ndani tu, naishi kibaha , naweza kuja hapo kwako kuona unavyowafuga, ? Japo bei imenikatisha tamaa kama nitaweza kuwafuga tena.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Dah...! Sikujua haya yote nilishika kawaida tu kama mayai mengine na yote yametagwa ndani ya week hii na nimeletewa mawili mawili yan kila akitaga jamaa analeya, then nimeyaweka kwenye kibox nikayaweka ndani tu, naishi kibaha , naweza kuja hapo kwako kuona unavyowafuga, ? Japo bei imenikatisha tamaa kama nitaweza kuwafuga tena.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mkuu karibu ukitaka waanguliwe usiyaguse hayo mayai waache watage walipotaga na waangue hapo hapo.Karibu mkuu usikate tamaa mkuu nilipoanza nilikaa miaka miwili bila kifaranga then ndo nilivyoanza kuwalisha inavyotakiwa na kuwa karibu nao wanataga vizuri sana. Once Again karibu sana
 
Umeniamasisha sana mkuu nitakutafuta nije nijifunze kitu kwako
 
Back
Top Bottom