Soko la bamia

Wakuu hv ni miez gani bamia inakuwa na bei nzuri sokoni
Bamia nyingi zinatoka mto ruvu, ukitaka upige hela, ni masika ya mwezi wa 3 mpaka 7 wakulima wale wanakuwa hawajaanza kuvuna coz ruvu huwa ni mafuriko, wanakimbia wote.
 
Back
Top Bottom