griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
Hi guys,for first time I want to share this stuff with you,katika jf,
Hii kitu nimekutana nacho kwa wakulima wengi sana in rukwa,mbeya and singida,wakulima hutumia nguvu sana in purchasing inorganic inputs to sort out Hii kitu,,,hii husababishwa na
1.lack of education to most farmers in horticulture
2.false recommendations from agro stake holders ,hapa namaanisha agronomists,agro dealers(agro-shops)
Tazama attached pics above ..
CAUSES
Ukosefu wa madini ya calcium katika udongo,Mara nyingi udongo kichanga.
RECOMMENDATIONS
1.use organic manures au Mbolea toka kwa mimea au animals,
2.use any fertilizer with high amount of calcium ,for my uzoefu natumia kampuni la yara
3.use efficient booster,Mimi natumia WUXAL from Bayer crop science.
Please to mchango wako hapa,ili tujifunze wengi kuboresha kilimo