nguma manyonya
Member
- Oct 4, 2015
- 55
- 55
Naomba nianze kwa kumshuru mungu kwa kunipa uzima na kunifanya nizaliwe Tanzania Tanzania tunazo fursa nyingi sana Leo ntazungumzia fursa zilizop kwenye secta ya kilimo watu wamekuwa wakilalamika hakuna mitaji lkn napinga sana kuhusiana na kilio hicho kwani tunayo ardhi yakutosha tunao vijana wenye nguvu tunacho takiwa kufanya nikunganisha nguvu kwa pamoja tukajikita kwenye kilimo cha mboga mboga natunda ambalo soko lipo ispokuwa watu wamekuwa wakilima mazao ambayo hayana ubora wakukidha matakwa soko la ndani na nje ya nchi yetu kwakua tunatumia viwatilifu vyenye kemikali nyingi sasa nataka tuzungumzie mbinu mbadala ambayo umoja wakilimo cha mboga mboga natunda temeke wanatumia mfona matango unatumia mbolea samadi yangombe unachanganya na mkojo wa sungura kisha unafunika prastiki nailoni hutumii aina yoyote ya kiwatilifu matango mpakakuvuna yanchuku siku arobaini natano lkn kilimo kinahita pesa kwakua umwagiliaji wake unakuwa wa matone tukiunga kama hawa wenzetu tutafanikiwa badala kuwa wabinfsi umoja ni nguvu mmoja mmoja hatuwezi kilimo mboga mboga kinahita pesa tukiunga mitaji ni rahisi kupatikana tofauti ukiwa peke yako watakuja majirani zetu kutoka nje watumia hizi fursa nasisi tubaki kulia