Uelewa sahihi kuhusu vipimo vya mvua kwa mikoa mnalimbali

dariro

JF-Expert Member
Mar 26, 2016
276
286
Habari za muda huu wakuu.
katika kilimo taarifa nyingi huwa ni muhimu ili kujua kama eneo fulani linafaa kwa kilimo kipi.mojawapo ni kiasi cha mvua.
mfano,mahindi hustawi kwa mvua milimita 600- 900 kwa mwaka.
Dodoma inapata milimita 500 za mvua kwa mwaka.
hivyo dodoma mahindi hayawezi kustawi vizuri.

sasa ningependa kupata uelewa sahihi juu ya hivi vipimo vya mvua huwa wanamaanisha nini?binafsi milimita 500 naziona kuwa ni chache mno,hata lita haifiki,nashindwa kielewa wanaposema kuwa hizo ndio zinapatikana mwaka mzima.
Tafadhali mwenye ujuzi aniondolee huu ukakasi
 
Back
Top Bottom