Shakil Bhanji
Member
- Jan 30, 2017
- 30
- 7
Nilikuwa naulizia mazao yafuatayo yana patikana kwa wingi wapi na yanapatikana wakati gani?
Tafadhali taja mazao na mkoa unayojua inapatikana. Mfano. Maharage- dar es salaam
1. Maharage
2. Ufuta
3. Alizeti
4. Mahindi
5. Karanga
6. Mpunga
7. Choroko
8. Korosho
9. Ngano
10. Mbarazi
11. Eriki
12. Binzari nyembamba
13. Karafuu
14. Mdalasini
Tafadhali taja mazao na mkoa unayojua inapatikana. Mfano. Maharage- dar es salaam
1. Maharage
2. Ufuta
3. Alizeti
4. Mahindi
5. Karanga
6. Mpunga
7. Choroko
8. Korosho
9. Ngano
10. Mbarazi
11. Eriki
12. Binzari nyembamba
13. Karafuu
14. Mdalasini