Salaam wana Jf.
Natambua mu wazima na mvua hizi wengine mpo mashambani mkiandaa mashamba.
Nimekuwa nikiona mijadala mingi hum ikijikita Katika Faida na mafaninikio ya kilimo. Lakini naomba tupeane maujanja na uzoefu katika upande wa hasara za kilimo na changamoto tunazokutana nazo. Wengi wamekuwa wakituambia juu ya upande mmoja ila leo tunawaomba mfunguke wakuu ili tujue upande mwngne
Tujikite katika mazao haya.
Tikiti Maji,Vitunguu,matango,Mahindi,Vitunguu swaumu, Bamia,Ufuta, Viazi mviringo.
Hii ni kujenga uwezo kwa wanaotaka waanze kulima pia kuwasaidi wengine ambao wapo kwenye kilimo na wanashndwa namna ya kutatua kero zao.
Huu uzi ujikite kujadili Changamoto katika
Upatkanaji wa Mbegu
Upatkanaj wa mashamba
Upatkanaj wa Maji
Magonjwa
Wafanyakaz
Mtaaji
Uvunaji
Soko na mambo mengine.
KARIBUN PIA MAANA NATAKA NIJIFUNZE.
Najua Mkuu Malila GBEBA Binti Magufuli na wengine watakuja vyema hapa