Kilimo cha umwagiliaji rahisi

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,768
2,750
Wengi wanashindwa kuanza kilimo cha umwagiliaji kwa kukosa mtaji wa kuchimba kisima na kununua pampu, ukiitumia akili yako vizuri hili si tatizo kabisa. Akili ni mali, angalia jinsi ya kuanza kilimo cha umwagiliaji kwa gharama nafuu

huu ni ubunifu wa watu wa misungwi (mwanza)
 
Last edited by a moderator:
Dah Tanzanians brains at work. Tatizo uongozi wa kisiasa, mwanasiasa anakwenda kununua mvua ya kutengeneza Thailand eti tuitumie kwenye kilimo chetu. Tunaacha ku-invest na kuzitumia skills za watanzania wenzetu kama hawa wa Misungwi.
 
kasimu kangu kameshindwa kufungua yu-tyub link hiyo. Please naomba maelezo tu ya jinsi wadau wanavyofanya umwagiliaji hapo
 
Naomba kuuliza, hivi maji ya kisima kirefu yanaweza kutumika kumwagilia? namaanisha yakiwa na chumvi chumvi au yataua mazao?
 
nafahamu yanatumika sana kanda ya kati yakiwa na chumvi ya wastani lkn kama ni maji ya kisima kinachovuta maji ya chumvi kali ya bahari mizizi huwa inaoza, lkn kama conc. ya chumvi ikiwa ndogo hamna tatizo
 
Dah Tanzanians brains at work. Tatizo uongozi wa kisiasa, mwanasiasa anakwenda kununua mvua ya kutengeneza Thailand eti tuitumie kwenye kilimo chetu. Tunaacha ku-invest na kuzitumia skills za watanzania wenzetu kama hawa wa Misungwi.

mkuu unamtukana hivyo raisi mtarajiwa jembe la ccm!
 
nafahamu yanatumika sana kanda ya kati yakiwa na chumvi ya wastani lkn kama ni maji ya kisima kinachovuta maji ya chumvi kali ya bahari mizizi huwa inaoza, lkn kama conc. ya chumvi ikiwa ndogo hamna tatizo

Mkuu Narubongo kuna drillers wowote wa Visima unawafahamu tokea Dodoma? Unaweza kujua na costs zao za kuchimbia kisima kwa meter? Nahitaji kuchimba kisima shambani Dodoma kwa ajili ya kuset irrigation system kutoa drillers Dar is a bit expensive,Please naomba Mwongozo wako
 
nakumbuka mgombezi ameshafanya research ya drop irrigation kwa maeneo ya dodoma pamoja na mchanganuo wote wa costs kwa heka 1.. roughly ni kama 4m kutokana na mchanganuo wake.. muone jamaa akupe details zaidi kuhusu mafundi

Dododoma maeneo mengi maji yanapatikana kwa juu juu kuanzia 15m (average), bei ya kuchimba mara ya mwisho ilikuwa kati ya 1500-2000/= kwa meter 1, andaa fungu la kumlipa mlinzi wa pampu 24 hrs maana kuna wezi wa pampu huko sipata ona.
 
Ahsante mheshimiwa Narubongo ntamcheki Mgombezi mimi kwa sasa hivi shida yangu ni kuchimba kisima kwanza ntatumia sprinkler irrigation kwa sasa hivi cost zake zipo chini ukilinganisha na drip irrigation .
It's a bit big project so ntakuwa nawafanyakazi permanent hapo Shambani so ulinzi sio ishu afterall sehemu ninapolima hakuna wizi ni bush kidogo hata hizo pump hawazijui
 
Mbona unanikatisha tamaa aisee ukiwa na kisima kirefu kama cha mita 100 utashindwa kumwagilia eka 100?

mkuu .... kisima cha depth ya 100m? .... my God .... depth ya bwawa ni around 5m na kubwa kwenye bwawa ni kutengeneza kingo imara .... gharama za bwawa zitakuwa ni equipments kama excavator .... bwaw utafanya irrigation traditional kwa kugawa maji kwenye mifereji (channel irrigation) bwawa ni environmental friendly na samaki utafuga
 
Gharama ya bwana ni kubwa sana ukilinganisha na uchimbaji wa kisima, Kisima cha 100M kinaweza kukugharimu only 15M hadi kinafanya kazi bwawa bila 100M plus mmmmmmh sidhani
 
mkuu .... nimegundua kumbe tumepishana lugha .... kisima ulimaanisha drilled water well au borehole .... mimi nilijikita kwenye kuhifadhi maji ya kumwagilia .... okay, kumbuka ukishachimba maji hayo ya kisima utahitaji kuyahifazi kwanza kabla ya kuanza kuyasambaza kwenye umwagiliaji hivyo itakubidi ujenge matanki ya concrete au mabwawa .... heka 100 let say utahitaji storage ya maji 1,000 cubic meters (1,000,000litres)
 
Ahsante mheshimiwa Narubongo ntamcheki Mgombezi mimi kwa sasa hivi shida yangu ni kuchimba kisima kwanza ntatumia sprinkler irrigation kwa sasa hivi cost zake zipo chini ukilinganisha na drip irrigation .
It's a bit big project so ntakuwa nawafanyakazi permanent hapo Shambani so ulinzi sio ishu afterall sehemu ninapolima hakuna wizi ni bush kidogo hata hizo pump hawazijui

installment cost ya drip system ni kubwa hata hivo running cost ni ndogo ukilinganisha na sprinkler system kutokana maji ya yanoyotumika kidogo ,na yanakuwa pumped at low pressure saving energy. Indeed a solar powered drip system inawezekana sana.
 
Nikijenga uwezo I will go for a drip irrigation mzee in save sana maji kuliko aina nyingine ya umwagiliaji shida yako ni gharama kubwa sana za awali
 
mkuu .... nimegundua kumbe tumepishana lugha .... kisima ulimaanisha drilled water well au borehole .... mimi nilijikita kwenye kuhifadhi maji ya kumwagilia .... okay, kumbuka ukishachimba maji hayo ya kisima utahitaji kuyahifazi kwanza kabla ya kuanza kuyasambaza kwenye umwagiliaji hivyo itakubidi ujenge matanki ya concrete au mabwawa .... heka 100 let say utahitaji storage ya maji 1,000 cubic meters (1,000,000litres)

Ni kweli bosi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom