Wanajf habari zenu,nlikua naomba kujua mbadala wa hizi dawa na mbolea maana huku kwetu inaonekana kua adimu kupatikana:-
1.fama gadi
2.DAP
2.CAN
3.LINKON
Nalima matikiti maji mtwara(masasi)
Habar yenu wanajamvi mimi ni kijana mwenye elimu ya diploma. Nimemaliza shule ivi karibuni target yangu kubwa kuja kujiajili kwa cozi niliyosomemea kwaivo natafuta mtaji sasa jambo la msingi ni...
Wanajf habari zenu,nlikua naomba kujua mbadala wa hizi dawa na mbolea maana huku kwetu inaonekana kua adimu kupatikana:-
1.fama gadi
2.DAP
2.CAN
3.LINKON
Nalima matikiti maji mtwara(masasi)
Wasalaam ndugu zangu
poleni na majukumu ya kila siku,kama kichwa cha habari, kinavyojieleza,,i kitunuu maji
soko lipoje ndugu zanguni,kwa maelezo zaidi
0672302714
Ninajogoo ila kila akipanda jike huyapasua kwa (paga) zake kiasi ambacho huwapelejea kuku jike hadi kukimbia kwa maumivu ya vidonda nini kifanyike juu ya huyu jogoo?
Sent using Jamii Forums...
Habari JF
Nina shamba maeneo ya Kisarawe na ningependa kulitumia kwa kilimo cha pilipili mbuzi japokuwa sina uzoefu na kilimo hicho.
Ninaomba msaada wa kitaalamu kwa kwa wazoefu kuhusu mambo...
JE UNAFUGA AU KULIMA KILE JAMII INACHO TAKA? AU KILE UNACHO PENDA WEWE BINAFISI?
Hili ndo kosa la kubwa mno ambali wafugaji wanafanya na hawajawahi tambua hilo.
Watu wengi tunafuga kile sisi...
Wana jamvi.
Kwa muda sasa nimekuwa nikiona picha au kusoma taarifa juu ya Viongozi hao tajwa, wakijihusisha ktk kilimo.
Nimeona picha za Jk Akiwa shambani kwake, akikagua mahindi yanayoonekana...
Kutokana na ushauri wa wadau wa jukwaa hili hasa upande wa kilimo, kumetolewa mawazo ya kuwa na data base ndogo ya taarifa muhimu za mazao,wanyama mbali mbali ambayo itakuwa hapa hapa jukwaani...
Kichwa cha Thread hapo juu chahusika.
MAJUKUMU: 1)Uwezo wa kusimamia shughuli za Ufugaji Nyuki kwa ujumla wake Kama vile;
i)Kuhamisha Malkia na Kundi la Nyuki kutoka kwenye...
Mh Kubota upo wapi ndugu. Wewe ni mtu muhimu sana kwenye jukwaa letu hasa kwa kutufunua akili na kutupa mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Naomba mods kama mna namna yeyote ya kumtress huyu...
Mbwa ni mnyama anayependa kula sana, kila akionacho kilichonona au chenye harufu nzuri basi hukitamani na hili hasa huwapa shida sana wafugaji wengi.
Dawa ya kulidhibiti hili ni kumlisha chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.