Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 5,037
- 4,932
Nimefurahishwa sana kuwaona baadhi ya wanawake wa kiislamu nao wakijihusisha na shughuli za ujasiriamali.
Nimekutana leo na wanamama kadhaa, na baibui zao wakiwa wamebebea vitu kama vile nguo za aina mbalimbali wakizitembeza kutafuta wateja.
Hii ni moja ya kujikomboa.
Ikumbukwe siku za nyuma wanawake haswa waislamu kwa sababu mbalimbali, kuu ikiwa swala la dini, kazi yao ilikuwa kukaa nyumbani na kutunza mume (kwa walioolewa) + familia kwa ujumla.
This is the Good thing, natamani isambae sehemu zote za Tanzania na isiwe ujasiriamali wakutembeza vitu tu..iwe na zaidi.
Nawasilisha.