CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,815
- 9,057
RAMANI YA UFUGAJI WA KUKU
(POULTRY FARMING MAP)
Hii ni Ramani ya kipekee kabisa itakayo kuongoza kufikia safari yako ya ufugaji wa kuku. Ramani hii imesheheni njia mbali mbali za wewe kupita ili uweze kufika mwisho wa safari yako.
KWA NINI RAMANI?
Hii ramani ni idea yangu ambayo nimeifanyia kazi kwa takiribani miaka 3 ambapo huko kote nilikuwa nikikusanya Njia mbali mabali za kuwezesha mfugaji kufika kule anako elekea.Ina elezea mazingira halizi lakini katika ulimwengu wa ufugaji kibiashara. Ni ramani kama kweli una fikiria kuanza safari ya ufugaji kibiashara.
NINI KINA KOSEKANA KWENYE RAMANI HII?
Kuna vitu vikuu vitatu vinavyo kosekana kwenye hii ramani navyo ni kama vifuatavyo:
1. Commitment-Kwenye ramani hakuna commitment bali hii itatokana na wewe mwenyewe, ni juhudi zako ndizo zitakuwezesha kutumia hii ramani. Hivyo bila yaw ewe kuwa commited au kujitoa basi ni vigumu sana kuweza kufanikiwa kwenye ufugaji wa kuku.
2. Capacity- Uwezo kwa maana ya mtaji haupo humu, ila basi ukiwa na jitihada automatically uwezo au mtaji sio shida na utaona kwamba kwenye ramani kuna mawazo ya njia mbali mbali za wewe kufikia unako elekea.
3. Confidence-Unahitajika kuwa na confidence ili kuweza kufika kule unako elekea, hata kama kwenye safari utafikia mahali viatu vichanike usione ai bu kutembea peku ili basi ufike mwisho wa safari yako.
NANI ANAWEZA TUM IA HII RAMANI?
Hii ramani inaweza somwa na kila mtu na kumuongoza kwenye ufugaji wa kuku.
Kama sio wewe basi Mke/Mme/Shangazi/Mjombo/ watoto/Mdogo wako/Kaka ako/Dada ako wanaweza soma tumia hii ramani na wakafika kule wanako elekea.
Kwa namna ya pekee, Baba na Mama kama wanajiandaa kustafu utumishi wa umma basi ramani hii itakuwa msaada wa pekee kwao, hivyo pia waweza wanunulia mama na baba.
Wafanyakazi wako wa shamba la kuku hawaruhusiwi kutumia hii ramani ila unaweza watafasiria kilichomo humu kuna sabababu ya msingi ya kwa nini hawaruhusiwi.
RAMANI INAPATIKANA VIPI?
Kwa kuweka oda yako unaweza pata ramani hii na utatumiwa kwa njia ya basi au njia ya posta kokote kule uliko Tanzania na nje ya Tanzania.
RAMANI INA INA NJIA ZIPI MUHIMU?
Ramani hii kama nilivyo sema ni ya kipekee kabisa yenye njia za kipekee kabisa za kukuwezesha kufika kule unako elekea.
Ramani hii ina njia 31 za wewe kuzitumia kufika kule unako elekea. Baadhi ya njia niliziondoa kwa sababu ya gharama kubwa kwenye kuchapa ramani.
- Uanzishaji wa Mradi wa kuku ukiwa ndani ya ajira.
- Mambo 21 ya wewe kutakiwa kuyajua kabla hujafikiria kuingia kwenye ufugaji wa kuku.
- Mbinu za kuajiri, kusimamia na kudhibiti wizi kutoka kwa vijna wa kazi
- Utaratibu wa ujenzi wa mabanda ya kuku, mahitaji eneo na gharama
- Ukokotoaji wa gharama za kuanzisha mradi wa kuku
- Je uanze ufugaji wa kuku kwa kununua vifaranga au mitetea
- Uleaji wa Vifaranga siku ya 1 hadi wiki ya 5
- Njia za kununua vifaranga walio bora na jisni ya kuwasafirisha
- Njia za kuchagua, kuku wa kununua kutoka shambani kwa mfugaji mwingine.
- Mradi wa kuwakuzia wafugaji wengine vifaranga wao wa kufuga
- Kutoka kifranga wa wiki 6 hadi kutaga na kuuza mayai.
- Mswali na Majibu kuhushu kuku wa mayi
- Kuanzisha na kuendesha mradi wa kuangua vifaranga(Hatchery)
- Elimu ya ununuaji wa mayai ya mbegu, usafirishaji na uatamishaji.
- Uanzishwaji wa mradi wa kuatamishia wafugaji mayai
- Mradi wa uuzaji wa mayai ya mbegu
- Mwongozo wa utoaji wa chanjo na njia za kutibu maji ya chanjo
- Afya ya kuku, magonjwa na jinsi ya kuyadhibiti
- Ugumu wa utambuzi wa magonjwa ya kuku kupitia kinyesi chao.
- Biosecurity katika shamba la kuku
- Tabia za kuku zisizo za kawaida na njia ya kudhibiti
- Utenegenezaji wa chakula cha kuku na ulishaji, Ukokotoaji wa gharama za malighafi
- Ulowekaji wa chakula cha kuku
- Uzalishaji wa vyakula mbadala vya kulishia kuku
- Uzalishaji wa minyoo(Red worm)
- Uzalishaji wa Hydrponic fodder kwa ajili ya mifugo
- Uzalishaji wa Mchwa
- Uzalishaji wa funza kwa ajili ya kulishia kuku.
- Kilimo cha mazao ya kulishia kuku
- Elimu ya utunzaji wa kumbukumbu
- Utafutaji wa soko la mazao ya kuku na njiaza kuuza.
- Je ufanye nini endapo soko litakuwa gumu?
- Njia za kuwavutia wateja wa kipato cha chini
- Njia shirikishi za uuzaji wa kuku na mayai
- Mpango mkakati wa mauzo ya kuku na maya
- Uongezaji wa thamani kwenye mazao ya kuku
- Uzalishaji wa mayai yenye kiini cha njano
- Mwongozo wa kuandaa mchanganuo wa mradi wa kuku
- Fomu mbali mbali za kutunzia kumbukumbu.
Ramani pia ina picha za kawaida na za mtindo wa katuni na pia fomu mbali mbali mabli za kutunzia kumbukumbu na za kwa ajili ya kusainisha wageni wanao kuja kutembelea shamba kwa ajili ya usalama.
WEKA ODA YAKO SASA KWA AJILI YA HII RAMANI, KAMWE USIKOSE HII RAMANI YA KIPEKEE KABISA.
SMS/Piga: +255767691071(Whatsapp)
+255783691072.