Soko la Ufuta mwaka 2017

FORWARD

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
740
293
Msaada tafadhali, naomba kufahamu bei ya ufuta huko mkoani Dar es Salaam, ili ikiwa iko vizuri tulete mizigo yetu.
 
Uchumi kweli umeanguka jamani, hivi ufuta na upatikanaji wake ule ndio bei 1350?
 
Nilijaribu kuulizia shambani,kule kijijini wanananua 1800,kwa mjini nazan itakua 2000 mkuu,peleka dodoma town
 
Pata soko kwanza ndio upeleke mzigo, usije ukaenda kichwa kichwa mkuu utajuta.
 
Ufuta mwaka huu bei sio nzuri, hasara tuu, huku Kibiti kilo 1500/= - 1600/=, ila ukiuza shambani 1200/=
 
Nina mafuta ya kupikia ya Alizeti nauza kiasi chochote unachotaka. Lita 3500
 
Back
Top Bottom