Kusindika mahindi

Parasite

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
610
555
ndugu zangu wakulima wenzangu habari za asubuhi?natumai mnaendelea vyema,nilikua naomba kujuzwa jinsi ya kusindika mahindi yaweze kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika au kuliwa na wadudu,natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Jamani it means hakuna wajuvi wa haya mambo au hawataki na ujuzi wao?
 
Ukisindika mahindi si unapata mahindi kwaajili ya kutengeneza pombe.

Umetumia lugha ambayo nafikiri si sahihi.

Ila kama wataka kuhifadhi mahindi yakae muda mrefu siku hizi kuna mifuko maalum ya kuhifadhia wala huna sababu ya kuweka dawa mahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mifuko inapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom