Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Msaada tafadhali, naomba kufahamu bei ya ufuta huko mkoani Dar es Salaam, ili ikiwa iko vizuri tulete mizigo yetu.
0 Reactions
15 Replies
50K Views
Nataka nianze kulima uyoga. Kuna expert yoyote anielekeze? Regards Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
12 Replies
5K Views
VIJANA TURUDI VIJIJINI TUNUNUE ARDHI Na Eng AYUB MASSAU Habari ndugu watanzania popote mlipo katika kuijenga nchi yetu ya Tanzania na kuhakikisha tunafikia nchi ya uchumi wa kati kama dira ya...
17 Reactions
30 Replies
7K Views
Nimefurahishwa sana kuwaona baadhi ya wanawake wa kiislamu nao wakijihusisha na shughuli za ujasiriamali. Nimekutana leo na wanamama kadhaa, na baibui zao wakiwa wamebebea vitu kama vile nguo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa Ushauri kuhusu Kilimo Biashara WIGO Farming Production wapo Tayar kwaajili Yako.Kwa Ujumla Kuhusu GreenHouse Kufunga system za Umwagiliaji Maji shambani drip irrigation,Kuuza na Kununua Mazao...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
ndugu zangu wakulima wenzangu habari za asubuhi?natumai mnaendelea vyema,nilikua naomba kujuzwa jinsi ya kusindika mahindi yaweze kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika au kuliwa na...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu Natumani mu wazima na afya njema.mimi nina kuku chotara na kienyeji nlikuwa naomba msaada wa soko.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu kwema naomba kujulishwa bei ya shamba la kukodi singida nataka nilime alizeti nahitaji eka 3 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini humu.. Kwa ambao mshalima au wataalamu wa tikiti naomba ushauri huu ni ugonjwa gani na nini athari yake? Nlidhani itakua chawa lakini mmea wote nimekagua hamna chawa. Pia kuna manyunyu...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kilimo Bora cha Nyanya; Maandalizi Ya Mbegu, Shamba Na Upandaji Wa Miche Utangulizi: • Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama...
3 Reactions
2 Replies
13K Views
RAMANI YA UFUGAJI WA KUKU (POULTRY FARMING MAP) Hii ni Ramani ya kipekee kabisa itakayo kuongoza kufikia safari yako ya ufugaji wa kuku. Ramani hii imesheheni njia mbali mbali za wewe kupita ili...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwa watu waliofanya kazi na hawa jamaa watueleze wanafaida gan kwa mkulima Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari Wana JF, Baada ya kupigwa na ugumu wa maisha kila wazo naona lina bounce, Ningependa kufanya biashara ya Kununua TOYO ile three wheel ya kubeba mizigo masokoni afu mwisho wa siku nipate...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi ni mhitimu wa elimu ya juu mwaka huu na katika tathmini yangu swala la kusubiria ajira inaweza kusababisha ndoto zangu zisitimie kwani napoteza muda kwani wakati mwingine najikuta nikitamani...
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Wandugu poleni na majukumu ya kila siku, Kilicho nisukuma kutumia dakika kadhaa kuandika hapa ni kuwa nahitaji mtu anae elewa mambo mengi kuhusu zao la alizeti, kwa mfano, linapo limwa kwa wingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari. Samahani nina mpango wa kujikita kwenye kilimo lakini sijui ni mazao gani yenye soko kubwa ili nijikite huko. Tafadhali naombeni msaada wenu.
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Wakuu kuku wangu hawa wa asili nimewanunua muda mrefu kweli lakini hawatagi wana tetea tu muda wote lakini kutaga hawatagi sijajua tatizo ni nini naombeni ushauri wenu tafadhali. Sent using...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nina kanga mmoja tu jike, sasa nashangaa jogoo anataka kumpanda huyu Kanga, Kama kafanikiwa sijaona maana nimechoka kusubiria. Ninachouliza kwenu wadau, hivi ikitokea kuwa hivyo ni ndege aina...
2 Reactions
26 Replies
11K Views
wakuu niliotesha papai langu Mungu mkubwa limeota vizuri na limetoa matunda ya kutosha .sasa hivi sijui limepata majanga gani matunda yote yapo kama yamemwagiwa unga unga hiv, naombeni ushauri...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa, wazo kuu linalo nijia kichwani ni kuanza kua na eneo la kujitosheleza ambalo nitahitaji mtaji mdogo tu wa kuanzia ambao mpango wa kwanza niku uwekeza katika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom