Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,886
- 132,158
Kwanza naomba kukiri kuwa mimi sio mkulima, ila kilimo kinanihusu, kama kinavyomhusu kila Mtanzania.
Wangapi wanatambua uwepo wa Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu nchini Tanzania, TOSCI?.
Jiunge nami, kufahamu vizuri kuhusu Taasisi hii ya TOSCI ni nini na majukumu yake ni yepi?.
Ushiriki waTaasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu, TOSCI Kwenye ...
▶ 18:51Huu ni ushiriki wa Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu, TOSCI Kwenye Maonyesho ya Kilimo ya ..
Huu ni ushiriki wa Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu, TOSCI KwenyeMaonyesho ya Kilimo ya ...
Karibu.
Paskali