Je, Una lolote unataka kujua kuhusu GreenHouse?

Kisambo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
845
514
Kwa Ushauri kuhusu Kilimo Biashara WIGO Farming Production wapo Tayar kwaajili Yako.Kwa Ujumla Kuhusu GreenHouse Kufunga system za Umwagiliaji Maji shambani drip irrigation,Kuuza na Kununua Mazao Yalimwayo kwenye GreenHouse,Ujenzi wa GREEN HOUSE,Ushur N.k

Waweza Kutupata Kupitia:-
P.O.Box 1068 Arusha-Tanzania
Sombetini Opp Maryland Hosp
+255 757 64 05 61
godson@wigofarming.co.tz
Website Www.wigofarming.co.tz
Instagram Wigofarming

Baadhi ya Miradi iliyochin na iliyofanywa na WigoFarming Production na Matokeo Yake
 

Attachments

  • IMG_0057[1].JPG
    IMG_0057[1].JPG
    431.9 KB · Views: 248
  • IMG_0033[1].JPG
    IMG_0033[1].JPG
    452.3 KB · Views: 269
  • IMG_0052[1].JPG
    IMG_0052[1].JPG
    458.9 KB · Views: 254
  • IMG_0004[1].JPG
    IMG_0004[1].JPG
    563.5 KB · Views: 216
  • FB_IMG_1453337782326.jpg
    FB_IMG_1453337782326.jpg
    41.1 KB · Views: 231
  • FB_IMG_1453337379450.jpg
    FB_IMG_1453337379450.jpg
    138.3 KB · Views: 261
  • IMG_0055[1].JPG
    IMG_0055[1].JPG
    363.6 KB · Views: 250
  • IMG_6372.JPG
    IMG_6372.JPG
    81.9 KB · Views: 228
  • IMG_6444.PNG
    IMG_6444.PNG
    189.8 KB · Views: 246
  • IMG_7523.JPG
    IMG_7523.JPG
    66.7 KB · Views: 214
  • IMG_8203.JPG
    IMG_8203.JPG
    220.9 KB · Views: 219
  • FB_IMG_1453338380017.jpg
    FB_IMG_1453338380017.jpg
    118.3 KB · Views: 212
  • IMG_8243.JPG
    IMG_8243.JPG
    265.5 KB · Views: 208
  • IMG_8388.JPG
    IMG_8388.JPG
    54.3 KB · Views: 224
  • FB_IMG_1453337947872.jpg
    FB_IMG_1453337947872.jpg
    114.6 KB · Views: 212
  • IMG_7868.JPG
    IMG_7868.JPG
    211.9 KB · Views: 218
ni kweli kwamba green house kuna mbegu zake special tofaut na za kawaida?
 
Gharama ya kutengeneza greenhouse ni bei gani ?
 
Tupe gharama za kutengeneza greenhouse na ukubwa wake
 
mimi wasiwasi wangu ni soko kwenye hayo mazao, soko la tz halieleweki kabisa
 
Hiii ni biashara co guys, weka bei watu wajue co mpaka inbox, kaa iko poa utatafutwa tuu
 
Watu wengine bhana, sasa ulivotaka watu waulize maswali, ulitegemea nini, uwajibie inbox!??? Acha unyumbu wewe, jibu maswali, halafu hizi green house kwa nchi ya joto c mazao yataoza ndani
 
ni kweli kwamba green house kuna mbegu zake special tofaut na za kawaida?
Hapana mbegu yoyote unawaza kupanda kwenye greenhouse lkn kwa mavuno bora huwa kuna baadhi ya mbegu zinafanya vizuri zaidi kwenye ghouse kuliko open field mf. Nyanya-Eva F1, Anna F1, Colazon F1.
 
Ina urefu gani hiyo Greenhouse yenu hapo kati nå pembeni..
Niwashauri watz wenzangu unapotengenezewa ghouse hakikisha ina kimo kisichopungua mita 3 kutoka chini kabla ya kuweka paa la ghouse. Tumia net (17 mesh size) kwenye side wall kama unaishi maeneo yenye joto. Ventilation ni muhimu kuwekwa kwenye greenhouse yako na iwe located katika upande ambao hewa itaingia inform of turbulent flow na sio laminar flow
 
Watu wengine bhana, sasa ulivotaka watu waulize maswali, ulitegemea nini, uwajibie inbox!??? Acha unyumbu wewe, jibu maswali, halafu hizi green house kwa nchi ya joto c mazao yataoza ndani
Hapana mazao yako hayawezi kuoza kama utaweka mfumo wa udhibiti joto katika ghouse yako. Mfano wa udhibiti joto ni ventilator, fan, pad etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom