Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wakuu! Kama ilivyo kwa zao la CHOROKO, zao la MBAAZI nalo limeleta kilio kwa wakulima wa mkoa wa Mtwara kwani hadi leo hii linanunuliwa Tsh 300/= kwa kilo moja ukizingatia gharama ya...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Thousands of tonnes of highly-toxic weed killer not authorized for use in the EU is being produced in Britain and exported to the developing world, it has been revealed. Paraquat, a pesticide that...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Indian Ocean fisherfolk come together
0 Reactions
0 Replies
499 Views
EFC ni taasisi ya fedha inayotoa mikopo kwa wajasiliamali na wafanysbiashara ndani ya mkoa wa dar es salaam kwa sasa. kwa wafanyabiashara wa ushonaji,duka,salon,bucha,viwanda vidogo...
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Mwezi wa kumi kuazjia tarehe 2 hadi 8 kutakuwa na Maonyesho ya kimataifa ya kilimo ya Nairobi. Haya ndo maonyesho makubwa kabusa Africa mashariki na kati. Kwa watako taka kwenda. Tutaondoka...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Natafuta red finger millet kwa wingi.taja bei Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
6K Views
wadau kwema? yangu ni machache tu napenda kujua ntapata wapi mbegu nzuri zilizooteshwa tayari kwa hapa dar?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mawele kwa wingi.taja bei Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Twamshukuru mungu tumeanza mwezi mtukufu kwa amani,mie ni mfanya biasha wa nguo za watoto na wakubwa naomba mtu anae weza nikopesha pesa bila riba,nashida ya milioni moja nitarudisha baada ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hamjambo WanaJamii Kero kubwa kwa mkulima hasa pale anapokua akihesabu 'vifaranga', ni wadudu wanaokula mazao yanapohifadhiwa. Swala hili limekera tangu binadamu wa kwanza kugundua kuhifadhi...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Wasalamu, Wana Biashara na uchumi,Nimekuwa na idea ya kutengeneza t_shits special kwa couples,niwe nadesign mwenyewe mtindo then nipeleke kiwandani wanitengenezee.Naombeni muongozo ni viwanda...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wataalamu wa kilimo naomba msaada, mahindi yameshambuliwa na wadudu. Wadudu hao hushambulia katikati ya jani tete linalo chipuka. Nitumie dawa gani ili ninusuru mahindi yangu na ya wengine maana...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo) Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa? Msaada kwa anayeelewa. #commred Chichimizi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua bei ya ya alizeti singida kondoa au babati imefika sh ngapi gunia ya debe 6 nahitaji gunia 100. Mashudu pia gunia 200 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
naomba msaada kwa yeyeote mwenye uelewa, mimi nimepanda miti ya miashuki kuzunguka plot yangu lkn ukuaji wake haulizishi kabisa , sasa ni miaka minne lkn mti mkubwa una mita moja na nusu na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu kwa mwenye ujuzi wa kutosha kuhusu kilimo hiki naomba kujuzwa. kuhusu mbegu kiasi gani kinahitajika kwa hekari , changamoto ya magonjwa na Wastani wa mavuno kwa hekari ni gunia ngapi za...
1 Reactions
8 Replies
18K Views
Msaada tafadhali wajemeni. Nina shamba mahala ambapo nataka kupanda miembe. Ushauri? Wapi nitapata miche ya miembe? Nipo Dar. ====== Zao la embe hustawi vizuri katika maeneo ya tambarare na...
10 Reactions
145 Replies
90K Views
Habari wana JF!! Kama kichwa cha habari kinavyosema, Kwenye hii posti nakaribisha maswali yoyote yanayohusu kilimo cha umwagiliaji!! Kama una swali kuhusu kilimo cha umwagiliaji usisite...
2 Reactions
39 Replies
11K Views
JISAJILI MAPEMA: MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA CHA MBAAZI KUPITIA WHATSAPP Tanzania graduate Farmers Association www.graduatefarmers.co.tz kwa kushirikiana na Kampuni ya ushauri wa kitaalam ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwanza naomba kukiri kuwa mimi sio mkulima, ila kilimo kinanihusu, kama kinavyomhusu kila Mtanzania. Wangapi wanatambua uwepo wa Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu nchini Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Back
Top Bottom