Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Ndg; hakuna asiye tambua kua Kilimo ni Uti wa mgongo wa Taifa letu..iwe kilimo cha Umwagiliaji ama kile kilimo cha Msimu..zipo changamoto kadhaa ambazo humfanya mkulima kutofikia Malengo yake...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Nnaomba msaada kwa mtu anaejua information kuhuxu ufugaji wa samaki
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kupata ufahamu wa biashara ya bucha ,namna inavyofanyika, changamoto na faida zake
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habar wanajamvi. Kwa anaefaham kuhusu kilimo cha Kahawa na Majan ya Chai .... Maeneo ya kilimo na soko lake anifahamishe Jamani. Tusiwe wakimya tuelimishane jamani. Asante
0 Reactions
2 Replies
3K Views
With my own water pan, I can farm all year round
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Mbuzi wangu wameanza kutokwa na vitu kama madonda hvi mdomoni sasa nashindwa kuelewa niugonjwa gani naunaweza kutibika vipi mnisaidie jaman picha hii hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
34 Replies
46K Views
Naomben mnishauri wakuu kwa hivi viota vyangu vipya Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Safari ya Ujasiriamli ni ngumu sana na Ina murorongo wa mambo mengi sana, NA SAFARI HII NI NDEFU SANA NA KUNA BAADHI HUWACHUKUA HATA MIAKA 30 KUFIKIA MAFANIKIO TANGIA WAANZE SAFARI HII, WAPO...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
naomba msaada jamani vifaranga vyangu vinakunja na kishusha koti baada ya wiki mbili na kufa.Nafanyaje au niwanyanganye mama yao Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Huku nikifahamu kuwa JF ndipo mahala sahihi kwa kupata ushauri, basi nawaomba wana bodi na wenye uelewa wa maswala ya ufugaji wanisaidie kwa hili: Nimepanga kuanza ufugaji wa kuku, je: Nifuge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanandugu naomba kuuliza, mbegu za sunflowers (alizeti) zinapatikana wapi na aina/variety gani ni bora na za kampuni gani. na bei ni kiasi gani? nimeenda Farmers Center na Farmbase pale ilala...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Haya nasema njooni huku kusini tulime acheni kulaumu tu kila kukicha mara serikali hivi mara JPM vile,njooni majembe yapo for free na mashamba yapo free vile vile. Mmenielewe lakini? Sent from...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimetembelea muduka ya kilimo ya kariakoo yanayouza honda water pump, kichwani mwangu nilikuwa najua kuna honda water pump feki ila nilishindwa kutofautisha? Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF nani anaweza nisaidia mahali nitapata mashine ya kukamua ng'ombe na bei yake?
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Poleni na pilika za ujenzi wa taifa,naomba kwa anayefahamu jinsi ya kuwafuga Bata bukini,nilinunua Bata wawili jike na dume toka mwaka Jana mwezi wa Tisa lakini chaajabu mpaka leo hawajaanza...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Mambo vp wadau. Naomba mnifahamishe,nimejaribu kutafuta jibu kwa internet na kuuliza baadhi ya watu lakini sijapata jibu...swali langu NI SAWA KUCROSS KUROILER CHICKEN NA KUKU WA KIENYEJI,kwamba...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu. Nimewahi kuuliza swali kuhusu mashamba ya kulima Ruvu,nikabahatika kupata maelezo,nikaenda na nimeanza. Lakini,uzi ulioniongoza nimeutafuta sijauona,ila nimetumia muongozo niliopewa...
16 Reactions
89 Replies
17K Views
Jamani habari humu jukwaani? Naulizia kuna tray niliziona mahali, ziko kama tray za mayai lakini zenyewe ni maalum kwa ajili ya kupandia mbegu za mboga mboga kama vile nyanya, hoho, vitunguu etc...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nahitaji vijana wenye nguvu na bidii,Kwa Kazi ya Kufyeka Pori /Mwitu Pwani tayari Kwa Kilimo.Kwa Uchache Vijana 10.Dodoma na Kigoma naambiwa ndiyo wapo.Mwenye Taarifa Taarifa tafadhali weka...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wana jukwaa heshima kwenu niko dar nahitaji bomba zuri la dawa lisizidi lita 15. Mwenye uelewa tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom