Msaada nikituma cv kwa email haifiki

Msaada nikituma cv kwa email haifiki

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,165
Reaction score
24,544
habar wakuu nimejaribu kutuma cv yang kwa email nikatuma pdf file lakini zinaishia kugoma tu

Kinachonishangaza wananambia niweke email ya mtu nayemtumia naweka
chini nakuta wameniandikia compose gmail hapa sasa sielew natakiwa niweke gmail ya nan???
 
Compose hapo unaandika maneno au ujumbe wako..angalia kwa chin hapo kuna kidude kama ki pini click hapo itaandika attach so find ur file la CV kwenye ur laptop then send
 
Back
Top Bottom