Ndugu wanajamvi naomba msaada kwa anaefahamu
Simu yangu haiconect mtandao kwenye pc japo inaonesha imeunganisha lkn ukifungua browser haifungui tovuti inasema there is no internet connection
Habarini wadau, ninatumia idm (internet download manager) siku za hivi karibuni imekuwa hailet ile pop up ya kudownload nikiplay video youtube kama mwanzo, websites zingine inafanya kaz kama...
Kuna jamaa aliingia kwenye FB na kuni-ADD alitumia ID nyingine nami nilim-ADD kumbe alikuwa jamaa ambaye namfahamu sasa nataka nim-Brock je nifanyeje??????maana ananisumbua sana.
Katika mtandao wa kijamii wa facebook, kuna makundi (Groups) mengi ambayo mtumiaji wa mtandao huu
anajikuta ameunganishwa hata pasipo kujijua. Na hii inakuwa kero maana unakua umeunganishwa...
Habari za jioni wadau....kuna sim mpya imenunuliwa Hong Kong imekuja mpya kabisa lakini haina Google services, aplication zone zilizobaki zinakubali apart from application za Google services...
Sitaki kuelezea kwa undani zaidi maana ntajikuta namwaga machozi yangu bureeeee!!!
Ila Tecno kwa kheri, niliwapenda ila mmejiharibia wenyewe.
"zamani niliwatetea ila mlichonifanyia sitakaa...
Wanajamvi naomba msaada au ushauri,
Hivi inawezekana au kuna apps zinazoweza kupokea au kuzipata sms na calls zinazoingia katika simu nyingine bila mwenye hiyo simu nyingine kujua kuwa kuna mtu...
Wakuu Nilitoka kidogo kwa muda kama wa miezi sita hvi sasa leo nimerejea hapo Nyumbani kusabahi ndugu jamaa na rafki na kujumuika nao holiday hii wakati naondoka halotel ilikuwa ni H+ plus muda...
Kifaa hiki kimefanikiwa kupokelewa na mtandao wa JAMECO,Ambapo kifaa hiki kitatengenezwa kwa packaging nzuri na kuuzwa kote duniani
Kifaa hiki kwa mara ya kwanza kilichapishwa HAPA
Baadae...
Wakuu habar zenu. Nilinunua iphone 6 yapata miez mitatu sasa, jana tarehe 27 nov imepata ajali kioo kimepasuka. Nomba kuuliza kama naweza fanyia repairing na itacost sh ngap kwa kioo au kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.