Msaada Wadau, nikipiga simu hazitoki inaandika "ACM limit Exceeded".

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Ni zaid ya wiki sasa kila nikipiga simu kupitia line yangu ya voda inanilete Ujumbe huo "ACM limit exceeded" sasa sielewi tatizo. Na nimechukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kureset bado hamna kitu nimeambulia kupoteza taarifa baadhi na namba za simu. Nimebadilisha simu bado tatizo ni lilelile.

Tafadhali msaada wenu kwa Tatizo hilo. Najua vizuri JF hakuna linaloshindikana.
 
nenda karenew SIM card, mi kuna jamaa alikuwa na tatizo hilo hilo alivyorenew ikawa fresh. sometimes ilikuwa akitumiwa SMS fonts zinazosomeka kama alama za ajab ajabu tu
 
nenda karenew SIM card, mi kuna jamaa alikuwa na tatizo hilo hilo alivyorenew ikawa fresh. sometimes ilikuwa akitumiwa SMS fonts zinazosomeka kama alama za ajab ajabu tu
Kazi kweli.
 
Back
Top Bottom