Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wanajamii naomba kwa yeyote mwenye kufahamu application nzuri ambayo itaniwezesha kudownload nyimbo za kibongo hasa zilipendwa. please tafadhali
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Habari wadau Kwa kipindi kirefu sasa (miaka kadhaa) tokea nilipojiunga na mtandao wa Facebook tatizo nimesahau exactly year niliojiunga kwa mara ya kwanza. Naomba msaada kujua ni Lini hasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Pc yangu ina matatizo kadhaa kama kutofungua apps ambazo zilikuja na Pc inasema apps can't open using the built-in adminstration niliwah badili akaunti kwenye machine sasa kuirudisha...
0 Reactions
7 Replies
788 Views
Niaje wadau wa humu mjengoni!! Natafuta battery kwa ajili ya Laptop yangu aina ya acer aspire E1-510. Hivyo baasi naomba mnisaidie kufahamu kuwa wapi zinauzwa na nitazipata vipi? Duka gani pamoja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
There isn't much that a shade tree mechanic can do to repair an automatic transmission but there are some simple things you can do to extend the time before problems arise. The automatic...
1 Reactions
1 Replies
813 Views
NDUGU.. NIMEIBIWA SIMU AINA YA SAMSUNG GALAXY NOTE 1 ... NINA FULL IMEI NUMBER.. NAOMBA KWA DEVELOPER YEYOTE ANISAIDIE JINSI YA KUITRACK LOCATION SEHEM HII PHONE ILIPO AU ANISAIDIE KAUJUZI JINSI...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau polen kwa majukumu naombeni maelekezo ya ku log in Facebook bila kutumia phone number. Pia namba yangu isionekane Facebook. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji mtu atakaeweza kunibadilishia template kwenye blog yangu .asanteni sana.
0 Reactions
6 Replies
964 Views
Habari wakuu? Kwa wenye uelewa naomba mnijuze namna ya ku download music on iphone. Na je inawezekana kuhamisha miziki kutoka kwenye computer kwenda kwenye iphone?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Natumia desktop Acer nahitaji kuinstall Bluetooth niwe naitumia kwenye kuplay nyimbo kwa kutumia sub woofer ambayo na yenyewe ina Bluetooth nimejaribu kudownload nimeistal nkaja kugundua ile ni ya...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wanajamii naomba kwa yeyote mwenye kufahamu application nzuri ambayo itaniwezesha kudownload nyimbo za kibongo hasa zilipendwa. please tafadhali
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ifahamu USB OTG Videos 200: Ifahamu USB OTG
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Sony claims it's not at fault for not releasing Android 7.0 Nougat for Xperia Z3 Japanese company Sony confirmed last week the smartphones that will receive Android 7.0 Nougat updates at some...
1 Reactions
0 Replies
793 Views
Habarini waungwana kama nilivotangulia kuandika hapo juu, sim yangu ni mpya kilichofanyika nikuwa nili iformat cm yangu sasa wakati wa kuwaka imekomea katika sehemu ya kusearch Wi-Fi inaseatch tu...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu salam kwenu,naulizia maana na kazi ya hichi kitu "data roaming".Naiona sana kwenye settings za simu
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habar kinavojieleza hapo juu,, kuna pc inaitwa lenovo brand (cce ultra thin u25) nimeiped lakin mim cio mtaalamu wa hivi vitu naombeni ushauri kwa wanaofahamu je ni nzuri naweza...
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Ndugu wanajamvi naomba msaada kwa anaefahamu Simu yangu haiconect mtandao kwenye pc japo inaonesha imeunganisha lkn ukifungua browser haifungui tovuti inasema there is no internet connection
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wadau, ninatumia idm (internet download manager) siku za hivi karibuni imekuwa hailet ile pop up ya kudownload nikiplay video youtube kama mwanzo, websites zingine inafanya kaz kama...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wadau, mwenye system ya SARIS, Tuwasiliane ani PM tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Back
Top Bottom