mkuu naomba msaada wako kama ulifanikiwa kutumia myus.com mm nimefungua account lakin hii adress mimeshindwa kujua jinsi ya kuiregister kwenye ebay kwa mfano kujua ipi ndo adress 1 or 2. ipi ni state/province. msaada wako mkuu.Kwa wale ambao wameshawahi kutumia myus.com naombeni mnielekeze matumizi ya hii account ya premium.
Ni kwamba ukisharegister na hii 60$ a year unakuwa --------- mzigo bure kwa mwaka mzima au utakuwa unalipa kila unapotumiwa?
Shukrani
mkuu naomba msaada wako kama ulifanikiwa kutumia myus.com mm nimefungua account lakin hii adress mimeshindwa kujua jinsi ya kuiregister kwenye ebay kwa mfano kujua ipi ndo adress 1 or 2. ipi ni state/province. msaada wako mkuu.
nashukuru mkuu. nilikuwa nawafuatilia vizur lakin naina kama gharama zao za kuship ziko pricey. vip ulishajarib kutumia soko la aliexpress mkuu?Nilifanikiwa mkuu.
Huwa natumia MYUS sanasana kwenye mizigo inayotoka amazon.
Ukifungua account na myus, wanakupa address yao ya hapo Sarasota.
Unaingia amazon unaweka hiyo address uliopewa na myus, unaitumia kama billing na shipping address.
Ukinunua mzigo amazon wanautuma kwenda myus, then hao myus wanakupa taarifa kuwa mzigo wako wanao.
Hapo ndo utawaambia unataka wakutumie kwa njia unayotaka.
MYUS inatumika kwenye websites ambazo hazitumi mizigo yako kwenda afrika.
Kama kuna sites wanazotuma mizigo africa moja kwa moja kama ebay, huna haja ya kuitumia myus.
okey. ngoja nijarub maana kuna bidhaa naitaka aliexpress ndo zipo nyingi. huwa natumiaga ebay lakin nachokitaka sellers hawaship tz nfo maana nillmetafuta na myus lakin naona kama aliexpress ndo zipo nyingi na wanaship tz.je, kwa experience yako ukinunua aliexpress mpaka bidhaa ikufikie inachukuwa sku jama ngap hiv on average kwa postN au swiden post ( these seem so economical)?Ndio. Aliexpress anatuma moja kwa moja kwa njia ya posta.
okey. ngoja nijarub maana kuna bidhaa naitaka aliexpress ndo zipo nyingi. huwa natumiaga ebay lakin nachokitaka sellers hawaship tz nfo maana nillmetafuta na myus lakin naona kama aliexpress ndo zipo nyingi na wanaship tz.je, kwa experience yako ukinunua aliexpress mpaka bidhaa ikufikie inachukuwa sku jama ngap hiv on average kwa postN au swiden post ( these seem so economical)?
mkuu kwa kutumia post kwa vitu kama simu huwa zinafika salama mikonon mwako? maana mm sjawah kuagiza ktu kinachozid 50$ ila safar hii ndo nataka nijarib 212$
So hapo hakuna solution. Au kuna kitu unatakiwa kufanya kuepuka hii?Huwa kinafika salama mkuu. Ila nakushauri uwe makini mkuu, unaweza kutumiwa kitu ambacho sio sawa na kile unachokiona kwenye picha.
navyoangalia mimi ni kupitia buyers comments zako kweny profile ya seller. je, kuna namna nyingine unatumia mkuu kweny umakini?Huwa kinafika salama mkuu. Ila nakushauri uwe makini mkuu, unaweza kutumiwa kitu ambacho sio sawa na kile unachokiona kwenye picha.
navyoangalia mimi ni kupitia buyers comments zako kweny profile ya seller. je, kuna namna nyingine unatumia mkuu kweny umakini?