Hiyo mpaka utumie tools no short cut nenda kwa mafundi hiyo ina frpWakuu,habari zenu,kuna mdogo wangu ameifanyia hard reset Simu yake Tecno n2 ambayo amenunua tigo shop sasa baada ya kufunguka na kufuata hatua zote ili aweze kuitumia amekwamia njiani inaseach kwenye WiFi kama picha zinavyonyeshaView attachment 440323View attachment 440324View attachment 440325View attachment 440326View attachment 440327