JIELEZE VIZURI SWALI LAKO HALIJA KAA VIZURIWakuu habari za majukumu..kwa bajeti ya 300k naweza kupata simu ipi nzuri
P8 lite is it worth it mkuu as far as low end users are concerned?second hand unapata galaxy s5, na mpya jichange kidogo tafuta huawei p8 lite, galaxy j5,
yap kwa bei chini ya laki 4 sio mbaya, ila ukianzia laki 4 kupanda kunakuwa na choice nzuri zaidiP8 lite is it worth it mkuu as far as low end users are concerned?
huyu anauza mpya laki 3P8 lite sh ngapi
ni kama equivalent hivi zinafanana mambo mengi, y6 pro ina battery kubwa ila p8 lite yenyewe ina support kubwa na haitumii mediatek.Hii ni zaidi ya huawei y6 pro?
around 350,000 hadi 400,000VP bei ya galaxy j5