Samsung J5 Kuwa slow na kushindwa kudownload application

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,485
8,701
Nina samsung J5 yangu tangu juzi iko slow kiasi kwamba siwezi soma mesage za whatsap, na nikisend mesage ni kama nimesend bila na data.

Nimejaribu jana ku iformat ila naona tatizo liko pale pale kwenye plasy store inagoma kudownload application kama fb whatsap, jf na zinginezo.

Msaada tafadhali
 
Ungelikuwa jirani hapa daslaam ungekuja kariakoo, kwan jana mtu amenilete DUOS KAMA TATIZO HILO, FASTER IKAPONA
 
Nina samsung J5 yangu tangu juzi iko slow kiasi kwamba siwezi soma mesage za whatsap, na nikisend mesage ni kama nimesend bila na data.

Nimejaribu jana ku iformat ila naona tatizo liko pale pale kwenye plasy store inagoma kudownload application kama fb whatsap, jf na zinginezo.

Msaada tafadhali
Sogea kariakoo tukusaidie au 715378899
 
Tatizo ni kwamba iko slow kwa kutumia Data za mtandao wa simu, ila kwa kutumia Wif ya ofsisi haina shida, natumia Vodacom internet, na niko mjini, Inagoma kabisa ku oparate hasa whatsap, yaani huwezi soma mesage make inakuwa kama iko offline, ila kwa fb tatizo sio sana, ila kwa whatsap ndo hapo kizungumkuti
 
1. hakikisha huna setting za wap,
nenda setting then kwenye wireless na network nenda more kisha chagua mobile network kisha acess point angalia setting zake sio za wap?

2.hapo juu inasoma E au 3g? au H au H+
 
Tafuta application zifuatazo
~kingoroot
~speed up swap

Tatizo lako litaisha
 
Tatizo ni kwamba iko slow kwa kutumia Data za mtandao wa simu, ila kwa kutumia Wif ya ofsisi haina shida, natumia Vodacom internet, na niko mjini, Inagoma kabisa ku oparate hasa whatsap, yaani huwezi soma mesage make inakuwa kama iko offline, ila kwa fb tatizo sio sana, ila kwa whatsap ndo hapo kizungumkuti
kama ni lain ya voda hata kwangu kuanzia ijumaha inazingua sana hata jana nimeshindwa kuangalia EPL mtandao tu utakuwa unazingua
 
Back
Top Bottom