Computer yangu ina scratch kama sijaweka kwenye umeme,


T

ThanksGod

Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
6
Likes
0
Points
3
Age
30
T

ThanksGod

Member
Joined Oct 11, 2016
6 0 3
Habar za Muda wadau, nina computer yangu HP Pavilion, mwanzoni ilikuwa iko poa sana, Lakini sasa sielewi kabisa,


Nikiweka kwenye chaji basi inafanya kazi safi tu, Ila umeme ukakatika au nikitoa chaji basi inaaanza kuscratch na huwezi tena kuitumia, betri iko poa na inapiga mpaka saa moja na nusu.


Nisaidieni
 

Forum statistics

Threads 1,274,326
Members 490,664
Posts 30,508,486