kichwapanzi
Member
- Aug 30, 2016
- 50
- 23
Habarini ndugu, tokea Jana computa yangu inakua nzito kufungia mafaili na nashindqa kudownload vitu mfano video player au game au hats nyimbo, msaada pls
Kama upo dar nipigie nikushauri, 0713 555991Habarini ndugu, tokea Jana computa yangu inakua nzito kufungia mafaili na nashindqa kudownload vitu mfano video player au game au hats nyimbo, msaada pls
NdioIna Antivirus?
Nipo arushaKama upo dar nipigie nikushauri, 0713 555991
Nitakusaidia pia, ninae mtaalam mwenzangu yupo huko wasiliana nae kwa namba hii 0758 305406Nipo arusha
HowFanya disc defragmented