Kwanza habari zenu wana JF Nahitaji msaada wenu, niliroot tecno J5 ikakaa poa ila nikahitaji kui Unroot na nilipo jaribu kui unroot imekua ikiwaka inaishia tu pale linapokuja neno tecno mpaka inaisha chaji haiendelei zaidi ya hapo, NAOMBENI MSAADA WENU