Nahitaji msaada wenu (sina ujuzi wowote wa mambo ya CAMERA).
Nahitaji kukununua kamera kwa ajili ya kazi ningependa kupewa aina ya kamera ambayo ni nzuri katika picha za mnato na ikibidi hata...
Habari zenu wadau.
Nilikuwa nauliza je inawezekana kuhack wifi(wireless fidelity) ambayo ipo umbali wa 500M.
Maana hapa ninapoishi nipo karibu na hotel ambayo inahiyo huduma sasa nataka niwe...
Kwa hali ilivyo sasa Kuna kila sababu ya kutafuta mbinu za kuwa anonymous ili kuwa salama. Najua inaweza kuwa ghali lakin zipo taarifa ambazo mwenyenazo anaweza kukubali kutumia gharama yeyote ili...
Nobel PrizeWinners (2016): Hakuna mweusi!
Bob Dylan
Literature
Duncan Haldane
Physics
J. Michael Kosterlitz
Physics
David J. Thouless
Physics
Juan Manuel Santos
Peace Prize
Fraser Stoddart...
Nina computer yangu Aina ya Dell, sasa cha kushangaza nikiwasha Utakuta monitor inatoa tu mwanga wa njano halafu haiwash screen na kwa wakat huo CPU inanguruma sana, naomben msaada wenu sijajua...
Ndugu wanajamvi naomba msaada ya kuunganisha cm na pc kwa kutumia Bluetooth ili niweze kucheza audio wirelessly pc yangu ni hp 250 g5 na phone ni samsung galaxy j7.
#freemaxencemelo
Habari JF....
Hivi kuna app au any other way ya kujua kua simu imetumika mda gani??? E.g mwaka au miezi flani.
Kwa mfano mtu anakwambia hii simu nimetumia wiki mbili tu,si...
Habari za leo wana jamvi, jamani nina tatizo naombeni msaada wenu. Nina external storage ya WD, ambayo haisomi tena nikiconnect kwenye computer, kuna data zangu zimo humo ndani, nisaidieni kama...
Nimejaribu kudownload apps mbali mbali lakini zote zimeshndwa,nataka lile file la GALLERY nililock kwakuwa kuna watu ukiwaazima simu hupenda kwenda kutazama mapicha na video sasa mie sitaki
Jaman naombeni msaada jinsi ya kuiondoa mistari iliyojitokeza ktk screen ya pc baada ya kukandamizwa kwa bahati mbaya. Kama kuna mtaalam anaejua jinsi ya kutatua hili tatizo msaada pliz
Wakuu naomba kufahamu simu yangu memory card ni 8gb na imebakiza space gb 6.49 na internal storage ni 16gb na imebaki space 9.80gb kwenye ram ni 1gb Ila space inakuwa 350mb-270mb na apps zote...
Natumia simu ya tecno mwanzo nilikuwa natengeneza wifi-hotspot na connect na pc ila karibuni haifanyi kazi japo inaconnect na bar zinasoma vizuri sijui shida itakuwa ni nini wadau kwa sasa natumia...
Heshima kwenu wakuu
Laptop yangu aina ya Dell Latitude D420 haiwaki, nikiiwasha inaishia kuwasha ivi vitaa vya caps lock, Bluetooth na vinaonesha mwanga kwa sekunde kadhaa alafu vinazima na ndo...
1. Hacking can be called the art of breaking into system for good purposes or bad purposes
2.hacking may range from breaking phones,pc,servers,electronic devices,credit cards and many more...
Msaada wa kuunlock huawei modem
model:E3372h-510
Imei:866658020469621
ilikuwa hilink nimejaribu iflash imekuja kwenye dashboard ila bado inanitaka niweke unlock code
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.