Memory,internal storage.ram

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
625
250
Wakuu naomba kufahamu simu yangu memory card ni 8gb na imebakiza space gb 6.49 na internal storage ni 16gb na imebaki space 9.80gb kwenye ram ni 1gb Ila space inakuwa 350mb-270mb na apps zote nilizo install nimeziweka kwenye memory card natumia tecno w4(6.0marshmallow)je!ninaweza kuongeza ram kwasababu nikitaka kuangalia match online kwa kutumia app kama kodi ghafla hua inakata
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom