Tupeane mbinu za kuwa Anonymous hapa JF na mitandao mingine ya kijamii.

J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,552
1,505
Kwa hali ilivyo sasa Kuna kila sababu ya kutafuta mbinu za kuwa anonymous ili kuwa salama. Najua inaweza kuwa ghali lakin zipo taarifa ambazo mwenyenazo anaweza kukubali kutumia gharama yeyote ili zisambae . Hapa tupeane mbinu za kuwa anonymous.
 
Uko wapi hapa duniani? Afrika? Ulaya? Marekani kaskazini/ kusini? Australia? Antarctica?

Manake baadhi ya mbinu zangu kuna sehemu hazifanyi kazi....

Ila aminia nikikupa hizi mbinu zangu utatesa vibaya mno kwanj hakuna atayeweza kujua uko wapi wala kujua utambulisho wako.

I am that smart and I know it
 
Mambo ya kawaida tu haya.usijali.yana mwisho wake.ila ukweli lazima usemwe.
 
Uko wapi hapa duniani? Afrika? Ulaya? Marekani kaskazini/ kusini? Australia? Antarctica?

Manake baadhi ya mbinu zangu kuna sehemu hazifanyi kazi....

Ila aminia nikikupa hizi mbinu zangu utatesa vibaya mno kwanj hakuna atayeweza kujua uko wapi wala kujua utambulisho wako.

I am that smart and I know it
Nipo Tanzania
 
Kwa hali ilivyo sasa Kuna kila sababu ya kutafuta mbinu za kuwa anonymous ili kuwa salama. Najua inaweza kuwa ghali lakin zipo taarifa ambazo mwenyenazo anaweza kukubali kutumia gharama yeyote ili zisambae . Hapa tupeane mbinu za kuwa anonymous.
-tengeneza email address bandia
-weka details bandia
Kamwe usitumie simu yako kujiunganisha na mtandao, tumia free WiFi hot spot ya jumuiya kama ile ya coca cola au kwenye maofisi
-usitumie wife hot spot toka kwa simu au modem ya mtu binafsi
 
Uko wapi hapa duniani? Afrika? Ulaya? Marekani kaskazini/ kusini? Australia? Antarctica?

Manake baadhi ya mbinu zangu kuna sehemu hazifanyi kazi....

Ila aminia nikikupa hizi mbinu zangu utatesa vibaya mno kwanj hakuna atayeweza kujua uko wapi wala kujua utambulisho wako.

I am that smart and I know it
Kwa ndumba ama teknolojia?
 
-tengeneza email address bandia
-weka details bandia
Kamwe usitumie simu yako kujiunganisha na mtandao, tumia free WiFi hot spot ya jumuiya kama ile ya coca cola au kwenye maofisi
-usitumie wife hot spot toka kwa simu au modem ya mtu binafsi
VIP kuhusu namba ya simu unayotumia kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki, hautojulikana bado?
 
Nilivyomuelewa in kwamba unanunua sim then huweki line yeyote, kama unalog in jf kwa kwa id ambayo hutumiag then unapost, baada ya hapo unatupa iyo SIMU , kuhusu network unatumia free wifi kama zile za cocacola.
 
Unakuwa na simu isiyo na laini hivyo unaitumia kwa hot spot WiFi tuu angalia ninayotumia mimi kama kuna mnara ni ngumu hata kujua location niliyopo kwasasa
36ae7667705aaa67f09f2e2de688a83a.jpg
 
Kwa Tanzania ukitumia email feki bila kuweka namba yako ya simu popote ni kazi sana kukushika.
IP Address za simu mitandao ya Tanzania ni dynamic, kwa hiyo ni vigumu kutambua IP ipi wakati upi ina-access mtandao, labda kama mtandao una-log MAC Address ya simu ambayo yenyewe ni unique. Ila ili kuhakikisha kabisa uko safe, tumia tu VPN, hapo piga hua hawakushiki.

Alafu pia kua makini na wadada wanaoweza kukutafuta JF wanajifanya wamekubali post zako kumbe wanatafuta details zako unajikuta umekua mlaini umetoa namba ya whatsapp.
 
Hata kwa VPN hauko safe. Makampuni yanayotoa iyo huduma ya VPN husema tu kwamba uko anonymous ila wapiii. Sheria ikiwabana wanatoaga data zako kiulaainiii..
 
Sasa kaka mshana na wewe unaamini kwa kufanya hv hukamatiki...wakati avatar ni picha ako kabisa????? Na jina unalotumia ni la kwako
unauhakika hilo jina na avatar ni vyake? vyaweza kuwa feki tu pia. vingekuwa vyake angekuwa anauza ngozi ya binadamu?
 
Back
Top Bottom