FBI baada ya kuhangaika wee mwishoe walifanikiwa kufungua iphone 5c ya seyyed farook, sasa apple leo hii wame-update ios kuziba mianya. hivyo FBI wakitaka kufungua tena itabidi watumie janja nyingine.
Ninatumia window 8.1 lakini PC yangu inashindwa kusoma media transfer nikichomeka USB ilhali vitu vyote vingine ina respond kama vile kucharge,camera lakini nikibonyeza sehemu ya media transfer...
Habari want jf, natumaini Nyote mpo poa, naomba msaada wa kuweza kupakua kila program nikitaka kupakua nitumie search engine ipi nikihitaji program kwa kutumia PC
Naomben msaada wen viongoz Nina box LA miracle ila sifaham nine watu wanovyo kunect na visim vidogo vya batan naomben mnisaidie viongoz juu ya hili tatizo lang
Habari wakuu?
Naomba link za kuweza kupakua app ya screenshoot kwenye simu yangu ya nokia e5(symbian).
Kuna kipindi cha nyuma niliweka simu ikakorofisha ikaflashia kwahiyo na ile app...
Wakuu PC yangu amechezea mtoto
Sasa kila nikiweka password inagoma ila hajabadilisha password, bado password ni ileile ya mwanzo ila nikiweka inajibu hivi
The Group Client service failed the...
Wadau nina simu tajwa hapo juu ambayo ni Sony experia c6903, kila nikiweka sim card haisomi wala internet network naombeni msaada. Nimeifanyia factory reset lakini bado.
Nyumbani creative ni kampuni yenye team iliyojitosheleza katika kupokea mawazo yako ya mfumo taarifa (data system) wa kazi zako na kuziweka katika mfumo wa programu za kompyuta (software)...
WAKUU, nahitaji muongozo wa kujifunza mambo ya Networking nijue tu basics ,Kwa wale wabobezi je nianze na kipi mimi ni mgeni kabisa japo Nina ufahamu kiasi Fulani wa computer
Naomba muanze kulinda website yenu. Nimewaonesha milango kadhaa ambayo mtu anaweza itumia kuingia , inatumia teknolojia ya zamani sana hiyo version ya joomla ni ya muda sana fanyeni ku upgrade...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.