Msaada: kucheza audio za android kwenye pc via bluetooth

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
235
225
Ndugu wanajamvi naomba msaada ya kuunganisha cm na pc kwa kutumia Bluetooth ili niweze kucheza audio wirelessly pc yangu ni hp 250 g5 na phone ni samsung galaxy j7.
 
utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
918
1,000

Hii nayo mpya, kwa nini sasa usihamishe hiyo nyimbo kwenye pc alafu uicheze huko na kuokoa battery?

Hii service ya ku play music via Bluetooth ilitengenezwa kwako wewe kuweza play mziki kutoka kwenye simu/pc/tablet yako kwenda kwenye spika special za Bluetooth na headphones special za Bluetooth au kama zinavyoitwa kitaalamu wireless speakers/headphones/earphones sio kwa simu kupiga mziki kwenye pc.
 
KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,144
2,000

Kwani haiwezekani hivyo atakavyo mleta mada kiongozi...?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,732
2,000
kwanini usitumie wifi? tafuta app yoyote ya dnla playstore search hilo neno halafu conect na wifi simu na pc then tumia windows media player kuplay mafile yako (bila kuyahamisha kwenye pc) utaplay video na audio. kuconfigure dnla na windows media player angalia hapa
Turn Windows 10 computer into a DLNA streaming server

bluetooth ipo slow sana itakuzingua kwenye audio za quality kubwa au video
 
fredkowaski

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
387
250
Hii nayo mpya, kwa nini sasa usihamishe hiyo nyimbo kwenye pc alafu uicheze huko na kuokoa battery?

Hii service ya ku play music via Bluetooth ilitengenezwa kwako wewe kuweza play mziki kutoka kwenye simu/pc/tablet yako kwenda kwenye spika special za Bluetooth na headphones special za Bluetooth au kama zinavyoitwa kitaalamu wireless speakers/headphones/earphones sio kwa simu kupiga mziki kwenye pc.
inawezekana ni ishu za setting tu me natumia simu kuplay muziki kwa pc kama ilivyo kwa sub woofer ....sometimes uwa nafanya kumkera mtu aliyekodoa sana macho kweny movie ..lol
 
utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
918
1,000
inawezekana ni ishu za setting tu me natumia simu kuplay muziki kwa pc kama ilivyo kwa sub woofer ....sometimes uwa nafanya kumkera mtu aliyekodoa sana macho kweny movie ..lol
Kwani haiwezekani hivyo atakavyo mleta mada kiongozi...?

Wakuu Sijasema kuwa ni kitu kisicho wezekana, kwa software utaweza kuhakisha lakini kwa mimi tu naona ni kama kupitia process nyingi sana na kupoteza charge ya simu bure bure tu..

Wakati ungeweka tu nyimbo hiyo kwenye laptop na kuplay simple haitaji ku pair chochote na kuset mambo tofauti tofauti na pia Kama chief hapo juu alivyo ongezea nyimbo nyingine (kama sio zile nyimbo zetu za mb2) kuna mda zinaweza kustack kwa sekunde kadhaa kama laptop pamoja na simu zisipo kuwa na latest Bluetooth technology.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom