Nobel PrizeWinners (2016)

Nobel PrizeWinners (2016)

Unaposema hakuna Mweusi una Maana gani/ipi?.Mbona hapo katika listi yako hakuna Mweupe?.Sisi sote tu binadamu,Sidhani kama Masuala ya rangi yana Mantiki kivile kwa karne hii.

Big up sana kwao hao binadamu wenzetu (Not about their colour),They make a World great again.We also needed to do the same like what they did above.
 
Unaposema hakuna Mweusi una Maana gani/ipi?.Mbona hapo katika listi yako hakuna Mweupe?.Sisi sote tu binadamu,Sidhani kama Masuala ya rangi yana Mantiki kivile kwa karne hii.

Big up sana kwao hao binadamu wenzetu (Not about their colour),They make a World great again.We also needed to do the same like what they did above.
Maana yangu ni kuwa itapendeza na waafrika tukionekana kwenye Science kubwa kama hizo. Ndio maana kukawa na African initiative to promote science of discovery kwa kuanzisha Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST) and its sisters across Africa.
The Nelson Mandela African Institute of Science and Technology in Arusha (NM AIST-Arusha) is one in a network of Pan-African Institutes of Science and Technology located across the continent

Nadhani umenielewa. Kuna initiative ya Africa kuona vijana wetu wanakwenda kwenye discoveries Sikuwa na nia ya ubaguzi.
 
Wameandaa wao wamepeana wao
kama eatvawards
 
Nobel hii ni ya wazungu zaidi
ndo maana hata Hitler na Stalin waliwahi kuwa nominated

Africa tunapaswa kuwa na yetu wenyewe
niliona jinsi Drogba na wenzie walivyo tumia mpira kusimamisha vita nchini kwao
nilikuwa very impressed
 
Ingekuwepo yetu(Waafrica) ningempendekeza Maxence Melo achukue maana kashinda vizingiti vingi hadi kutufikisha hapa....hata BBC,ABC,CCN,ALJAZEERA na D.W wanafahamu hilo...Jamiiforums-- sieg Heil! Sieg Heil! Sieg Heil!
 
Wameandaa wao wamepeana wao
kama eatvawards
Sio kupeana, hata computer unayoitumia kuna watu wamepata Nobel prize of computing. Kuna tangible results!
 
Hahahaha sasa tufanye nn????????


Ila tunaweza tukiwa na environmental background nzuri...... Mbona lupita nyongo kaweza kawa nominated humo
WHO IS THAT? OK nimempata! Huko hakutusaidii lolote in Education/Science na sio "humo"
upload_2016-12-20_8-25-16.jpeg
upload_2016-12-20_8-25-16.jpeg
upload_2016-12-20_8-25-16.jpeg
upload_2016-12-20_8-25-16.jpeg
Lupita Nyong'o
Actress
Lupita Amondi Nyong'o is a Kenyan-Mexican actress. She was born in Mexico to Kenyan parents and raised in Kenya. She attended college in the United States, earning a bachelor's degree in film and theater studies from Hampshire College. Wikipedia
 

Attachments

  • upload_2016-12-20_8-25-16.png
    upload_2016-12-20_8-25-16.png
    219 bytes · Views: 25
  • upload_2016-12-20_8-25-16.png
    upload_2016-12-20_8-25-16.png
    425 bytes · Views: 27
  • upload_2016-12-20_8-25-16.png
    upload_2016-12-20_8-25-16.png
    272 bytes · Views: 28
  • upload_2016-12-20_8-25-16.png
    upload_2016-12-20_8-25-16.png
    1.7 KB · Views: 27
Back
Top Bottom