Msaada gb whatsapp

Msaada gb whatsapp

Link ya nini? Kudownload app yoyote ambacho haipo playstore tumia operamini au uc bworse andika unachotaka ongeza neno apk mbele alafu search ukipata download
Mf andika gbwhatsapp apk alafu search utaipata
 
Uamuzi ni wako, ukitaka kutumia zote mbili sawa ukitaka kufuta pia ni sawa
Kazi ni kwako
Vp kuhsu groups ulizo jiunga nazo zitafutika? Kama nitafuta whatsApp ya mwanzo? Na ku install hii?
 
29d3bc3e76af993437ae811826caaa17.jpg
 
Cjui kwenye simu yangu nimekosea setting ipi, kila nikitaka kudownload kitu inaniambia hivyo, phantom 5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom