Wataalamu wa mambo ya "CAMERA"

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,918
2,000
Nahitaji msaada wenu (sina ujuzi wowote wa mambo ya CAMERA).

Nahitaji kukununua kamera kwa ajili ya kazi ningependa kupewa aina ya kamera ambayo ni nzuri katika picha za mnato na ikibidi hata video.

Naombeni pia sifa za kamera hizo ambazo kwa sasa ni nzuri kwa ajili ya kazi ya upigaji picha katika matukio mbalimbali (send off,birthdays,harusi n.k) nitafurahi kwa ufafanuzi wenu.

NB; naomba mambo yote yawe hapa sio inbox.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,738
2,000
tafuta camera hizi
-Cannon EOS Rebel T5i


-panasonic G7


-Nikon d5300


hio panasonic g7 advantage yake inachukua video hadi 4k incase unahitaji chukua hio, hio canon T5i ni nzuri kwa wanaoanza kama hujui hata kupachika lens chukua hio.

zote ni nzuri na za kisasa ambazo hutumika hata huko duniani.

bei nimecheki zote ni chini ya dola 700, change inayobaki kanunue mic nzuri utaihitaji kwenye video recording na pia unaweza kuhitaji lens
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom