RETRIEVAL MY WD EXTERNAL DATA

RETRIEVAL MY WD EXTERNAL DATA

MZALENDO NO.1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
302
Reaction score
134
Habari za leo wana jamvi, jamani nina tatizo naombeni msaada wenu. Nina external storage ya WD, ambayo haisomi tena nikiconnect kwenye computer, kuna data zangu zimo humo ndani, nisaidieni kama naweza kuitengeneza ikatumika tena au kama haiwezi kutengenezeka, data zangu kuna namna yoyote ya kuzipata. (RETRIEVAL OF DATA) Asanteni kwa kusoma na kunishauri cha kufanya inadvance
 
external haiharibiki bali jumba lake ndio lina ungua we nenda tu kwa fundi ukabadilishe jumba lake
 
Habari za leo wana jamvi, jamani nina tatizo naombeni msaada wenu. Nina external storage ya WD, ambayo haisomi tena nikiconnect kwenye computer, kuna data zangu zimo humo ndani, nisaidieni kama naweza kuitengeneza ikatumika tena au kama haiwezi kutengenezeka, data zangu kuna namna yoyote ya kuzipata. (RETRIEVAL OF DATA) Asanteni kwa kusoma na kunishauri cha kufanya inadvance
Weka Picha ya hiyo external yako nikishauri kitu
 
Bomoa hiyo toa hdd iliyopo ndani valisha jumba jingine
 
Kama uko tayari kulipia tuonane kesho Ofisini
 
Back
Top Bottom