Msaada: Madirisha ya Aluminium Wadudu Wanaingia Ndani

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
10,794
2,000
Yote yako hivyo,labda kama haufungui mara kwa mara ndio salama yake,lakini kama ni wa fungafungua yanaacha nafasi na wadudu wanaingia bila kipingamizi chochote.Kiuhalisia hayo madirisha yanapendezesha nyumba ila hayana mpango wowote.
 

haibreus

JF-Expert Member
Oct 1, 2009
295
225
Wakuu hivi karibu nimeweka hayo madirisha kibandani kwangu lakini cha ajabu wakati nimefunga madirisha hasa sehemu ya wavu) wadudu mbalimbali wakiwemo mende, mbuu nk wanaweza kutoka nje na kupenya na kuingia ndani. Je hii ni kawaida kwa madirisha haya au nimepigwa na fundi? na je nifanyeje?
Hiyo si kawaida mkuu nyavu standard hazipaswi kuruhusu wadudu kupita. Hata hivyo waelekeze watumiaji namna ya kufunga na kufungua vizuri kwani wengi wao huacha gaps. Weka mazingira yako vizuri kwa kuangamiza wadudu ktk eneo unaloishi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom