msaada: jinsi ya kulock mafile ya kwenye simu

msaada: jinsi ya kulock mafile ya kwenye simu

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,657
Reaction score
8,589
Nimejaribu kudownload apps mbali mbali lakini zote zimeshndwa,nataka lile file la GALLERY nililock kwakuwa kuna watu ukiwaazima simu hupenda kwenda kutazama mapicha na video sasa mie sitaki
 
Waje watupe maujanja. Mie pia nahitaji.
 
nimeipata advance applock ni nzuri hatari
 
Fafanua mkuu how do you root the phone
unadownload kingroot app au kingo root app then unaistall bt inadepend na model ya simu
kuna thread zmeelezea juu ya kuroot simu pros and cons zake unaweza kuzisearch
 
unadownload kingroot app au kingo root app then unaistall bt inadepend na model ya simu
kuna thread zmeelezea juu ya kuroot simu pros and cons zake unaweza kuzisearch

Hivi ku-root simu ni lazma uwe na bundle ndio ikubali au hata bila internet naweza root...?
 
Back
Top Bottom