Naomba ufumbuzi wadau

jitupori

Senior Member
Feb 22, 2015
199
225
Habari zenu wadau.

Nilikuwa nauliza je inawezekana kuhack wifi(wireless fidelity) ambayo ipo umbali wa 500M.
Maana hapa ninapoishi nipo karibu na hotel ambayo inahiyo huduma sasa nataka niwe natumia hiyo wifi kwa umbali huo nliopo.. hivyo nlikuwa naomba msaada wa jinsi ya kutumia hiyo huduma nkiwa umbali huo..mwenye ujuzi na hili anisaidie tafadhali.
 
churaxzbt8

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
272
225
Habari zenu wadau.

Nilikuwa nauliza je inawezekana kuhack wifi(wireless fidelity) ambayo ipo umbali wa 500M.
Maana hapa ninapoishi nipo karibu na hotel ambayo inahiyo huduma sasa nataka niwe natumia hiyo wifi kwa umbali huo nliopo.. hivyo nlikuwa naomba msaada wa jinsi ya kutumia hiyo huduma nkiwa umbali huo..mwenye ujuzi na hili anisaidie tafadhali.
Fanya social engineering kidogo, Vaa vizuri suite , tie nn, chukua laptop yako nenda kwenye hiyo hotel , then nenda sehem ya wagen na laptop yako jifanye huko busy kweli na kazi za office ,angalia dada mchangamfu then mchangamkie kish agiza kinywaji mfno maji au juice. Tulia kidogo kisha mwite huyo mhudum mwombe password za wifi yao kwa kuwa umesahau modern na ulikua unataka kutuma email office n. Atakupa ,kumbuka kuinstall na kuactivate keyloger yoyote kwenye computer just incase akitaka kuandika hiyo password mwenyewe ili kukufisha. zuga kama lisaa funga laptop kisha agiza kilevi, tulia kama lisaa mwite mhudum kisha mweleze computer imedisconnect mwambie akupe password yao kwa mara nyingne tena.. kama password inatofautiana na hile ya mwanzo , angalia pattern ya password s zao .. kama ni ile ile ukifika home i test kama inafanya kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom