Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jaman natumia software gani ili niwe natumia all social media gani kwenye desktop yangu?
1 Reactions
4 Replies
368 Views
Nime install IMO lakn baada ya kuweka namba nitakayotumia ili ianze kufanya kaz naona inaload tu haikubali. Msaada namna ya kutatua plz....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu ni hivi,natumia tecno w4 ambayo niliweka laini ya Halotel na tigo.Simu hii ilikua na kawaida kwamba nikiwasha data inastack sana,niliwahi kulileta humu tatizo hilo ila sikupata solution...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau duka lipi naweza kupata bloototh receiver kwa hapa Tanzania
0 Reactions
0 Replies
835 Views
ɐ9u!u ppI ᴉ!ɯ!ɯ ɐʎdɯ ɐʞɐʍɯ ɐʎ ᴉiɹ3ɥ
0 Reactions
15 Replies
4K Views
GSM-Forum kuna mtu kuna mtu humu ni fundi wa simu ama anajishugulisha kwa namna yeyote kutoa solution kwa msaada wa google au youtube basi ajitahidi kutunza hizo mbinu kwani muda si mrefu huenda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za hapa Wadau.. Naomba kujua vifaa gani vinatajika niweze kutumia king'amuzi kimoja ktk TV mbili.. (Moja sebuleni nyingine chumbani) AINA YA KING'AMUZI NI ZUKU.... ASANTENI SANA!
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wataalam. Naomba tushirikishane game nzuri hasa za magari na nyinginezo ambazo zipo full na zisiwe trial, pia ambazo mtu anaweza kuzicheza offline. Natanguliza shukrani.
4 Reactions
4 Replies
14K Views
Habari za muda huu, naomba msaada kama inawezekana, natumia simu aina ya tecno C8 nahitaji kubadilisha aina tofautitofauti za miandiko (fonts style) bila ku-root simu yangu. Msaada please,
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Je uliwahi kujiuliza kwamba 2G, 3G, 4G, 5G maana yake ni nini? Katika sekta ya mawasiliano, ni kawaida kuwasikia wataalamu na wakati mwingine watu wa kawaida wakizungumzia kuhusu teknolojia ya...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna mashine ya kufulia aina ya Indesit wixl 143s. Ilipata tatizo la drain pump kuungua pamoja triac husika. Nimepata spare husika na kuziweka. Mashine inafua lakini bado pump haizunguki ikifikia...
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Wadau habari, simu yangu ya Tecno C9 inatatizo sehemu ya phonebook, yaani ukibonyeza jina halifunguki,nikitaka kupiga simu mpaka niandike namba kwenye karatasi.
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Ninayo simu hii nilinunua enzi za sasatel hivi sasa hakuna uwezekano nikatumia mitandao mingine watalaam tusaidiane.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
plz msaada jinsi ya kuchakachua modem huawei 303
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Msaada toshiba yangu c660 inagoma kuingia kwenye BIOS Na boot menu nataka nijaribu kuweka Windows nashindwa
0 Reactions
3 Replies
743 Views
Wale wenye uzoefu na izi smart phone na atufafanulie hapo Kati ya laini ya tigo na halotel ipi inapasua kwa kasi intenert? Ukiweka kwenye Simu yenye uwezo wa 4G?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini za kazi wanajamvi! Natumia LG G2, kuanzia jana nimepata tatizo kila nikifungua application screen inastack kwa sekunde chache ndio niweze kuendelea. Baombeni msaada wa nin naweza...
0 Reactions
6 Replies
893 Views
Kampuni ya kutengeneza vifaa vya teknolojia ya computer "Kingston" February 2017 itaingiza sokoni Flash yenye ukubwa wa Terabyte 2 (GB 2000). ===== MANILA, Philippines – Three years after...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa natumia lumia 625(4G) na sim card ya tigo ya 4G ila kwa sasa nimepata tecno c8 lakini nikiiweka hii laini ya tigo inasoma ila shida ipo kwenye network yakupiga simu ndio shida kila Mara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar Eti Unaweza kusoma short course ya Computer maintainece and repair kwa miezi miwili ukawa FUNDI mzuri katka mambo ya computer
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…