Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ni mara ya pili sasa inanitokea ninapoomba huduma ya kopa salio naambiwa sijakidhi vigezo na sipewi mkopo, lakini cha kushangaza nikiweka vocha nakatwa fedha ambayo sikupewa, piga customer...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za kushinda, naomba msaada wa maelekezo niweze kupata customized Rom kwenye simu aina ya samsung 4 na Samsung Note 3.. natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeweza kunipa msaada.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kufahamu jinsi ya kuifanyia hard reset tecno w4
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari Naombeni mwenye ujuzi zaidi anisaidie hii ishu. Iko hivi, nilinunua galaxy s4 LTE I9505 na nikairoot kwa kingroot kupata root access(nishawahi Fanya kwa simu kadhaa). Baada ya kupata...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Guys ninatumia Simu, pc na sometimes app ya JF. please nipeni maujanja how naweza kukoleza maandishi ya heading ya post hapa JF
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimatumaini yangu kuwa muwazima wa Afya njema Husika na kichwa cha habari hapojuu, mimi ni mtumiaji wa simu ya HUAWEI Y530,Androi v4.3 ambayo tayari nimesha ROOT, hivyo naombeni msaada wa jinsi...
0 Reactions
6 Replies
982 Views
FM radio broadcasting was invented in the United States in 1933. After a slow start, it became wildly popular all around the world, largely because the frequency modulation technology used offered...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Huwa nasikia kwenye makampuni ya simu kuwa baada ya muda fulani watabadilisha network ya 2g au 3g na juzi hapa nimeona matangazo kwenye mtandao wa kampuni ya Tigo kuwa wamezindua network ya 4G...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Poleni wajumbe, naombeni msaada wa kufanya setting ya game kwenye laptop yangu ili PAD iweze kuplay hasa game la mpira mfano pro evolution soccer 2016 limekataa kabisa kuplay
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimekuwa nikihangaika kupakuwa movies alafu sifikii tamati bundle kuisha naomba kueleweshwa Kama unaweza shauri hapa tushirikishane kujua ni bundle za mtandao gani zinaweza kuwa bei lahisi ili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana bodi nimepata kulisikia hili jambo. Kama kuna anayejua hizi apps kwenye smart phones anieleze. Apps zinazoweza kudetect uwepo wa torch za spidi barabarani na umbali wake. Nawasilisha.
1 Reactions
55 Replies
13K Views
Habari zenu wadau poleni na mihangaiko. Nina laptop yangu ya Dell core 2,ram 2gb, hdd 320 iko slow sana na bado sijaiwekea vitu vingi space ambayo Tyr nimetumia mpka Sasa hivi haijafika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta maarifa ya nini hasa huwezesha mchakato huo kutokea kwa uchanganuzi wa kisayansi. Mabadiliko yanasabishwa na nguvu ya graviti-(gravitational force) ya-mwezi-na-jua-inayovuta-dunia yetu...
2 Reactions
45 Replies
26K Views
Ndugu zangu cjui ni ushamba wangu, maana nimevumilia nimeshindwa.. some time kuna social network nimeingia nimekuta picha au video nimeipenda nikiicopy au kusave inaniambia. Video hiyo nimeicopy...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivi ni site gani au kampuni gani ambayo wanaregister domain bila longo longo hapa Tz maana kuna kampuni... Kwa jina naihifadhi nimelipia domain takribani wiki nzima hakuna kinachoeleweka.. Hebu...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habri kinavyojieleza kwa yeyeto mwenye utaalamu huo naomba anielekez nahitaji ku upgrade simu aina hiyo Upadates Ni kutoka 4.1.2 kwenda 4.4.2
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau simu yangu inanisumbua, inaleta matangazo mengi mpaka inanifanya niichukie simu. Nimejaribu vitu kadhaa nimeshindwa kuyaondoa. Naombeni msaada tafadhali.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
picha ya juu ni sehemu anayowekea karatasi na kui view kwenye monitor Picha ya kati anaweka akaratasi ama kitu anataka akisome Tatu anaonekana akisoma wajuzi hii kitu ilikuwepo miaka gani...
0 Reactions
10 Replies
683 Views
Kuna biashara nataka tufanye kuhusiana na social media like facebook. nitashukuru
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…