kijumbamshale
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 267
- 86
Ni mara ya pili sasa inanitokea ninapoomba huduma ya kopa salio naambiwa sijakidhi vigezo na sipewi mkopo, lakini cha kushangaza nikiweka vocha nakatwa fedha ambayo sikupewa, piga customer service sasa kama wanapatikana.
Huu sio uungwana kabisa!!! Ni wizi wa mchana peupe
Huu sio uungwana kabisa!!! Ni wizi wa mchana peupe