Msaada kwa anaye fahamu namna ya kutoa pesa ulizotumiwa kutoka mitandao mingine kwa njia ya SMS ambapo unapata sms uende kwa wakala wa M Pesa ndan ya siku saba
Salaam wana bodi.
Kama mada inavyojieleza hapo juu.
Nimekuwa natumia JamiiForums App niliyoipakuwa toka google store.
Lakini kwa muda kama wa wiki mbili hivi kila nikiifungua inaleta habari ya...
Naulizia kama itafanya kazi bongo
nimeikuta inauzwa ebay na inaruhusiwa kuuzwa mpaka tanzania imetajwa pale
DVB-T2 High Definition digital terrestrial receiver MPEG4 TV Receiver For Africa...
wakuu naombeni msaada mana niliweka mobile ant thief kwenye cm yangu siku za nyuma kidogo sasa baada ya kubadilisha line tu simu inaniambia privacy protection pasword ambazo nimeshazisahau naitaji...
Nimenunua flash GB 64, nimeweka PICHA na video nikichomeka kwenye TV haionekani kama flash, nikiiiweka kwenye PC inapiga kazi kama kawaida. Msaada ili niweze kuitumia kwenye TV. Nyingine zinafanya...
Habari wakuu,
Kuna hizi simu za wagiftishe zinatozotolewa na tigo ambazo SIM slot moja iko customized kwa ajili ya tigo tu na hiyo in access ya hsdpa upande wa internet wakati ile slot nyingine...
wadau napendelea zaidi kutumia wap stlye kuliko desktop style nikingia jamii forum cha ajabu toka juzi niki select wap stlye muonekano unakuwa hivi-kama inavyoonekana hapo chini.
setting kwenye...
Habari zenu wakuu.. Nmeapply google adsense... Wakaipitia property yangu...then kuna code nlipewa niiweke kwenye header tags ili waifanyie review website yangu... Nikafanya hivyo...Sasa nashangaa...
Sorry wakuu,nashindwa kuplay azam 2 tv,katika live streaming yao inazingua sijui kwanini,pia na ITV inanzingua kwa android app. waklati tayari nimeinstall vizuri tu lakini haitaki kuplay live.kwa...
TV yangu aina ya LG nchi 42 LCD imepasuka kioo.
Kwa yeyote anayemfahamu fundi mzuri wa flat screen TV naomba anielekeze anapopatikana.
Au yeyote ambaye ana screen ya kufanya replacement...
Habari wana JF, leo nimeona ni share na nyie huu ugunduzi uliofanyika nchini japan, Kampuni moja ya huko japani imeweza kutengeneza simu yenye uwezo wa kuoshwa kwa sabuni na maji tena hata maji ya...
Hapo kuna info kazaa nimefuta lakini kuna mtu amekuwa akinifuatilia kwa miaka saba mpaka amefikia hatua za kujipa full control ya computer yangu katika kipindi cha miaka nane ameshaharibu computer...
Habari zenu wakuu , leo ningependa kuelezea jinsi ya kudownload video kutoka
facebook/ Jinsi ya kudownload video za Facebook ( Najua baadhi yetu tunajua na baadhi ya watu wengine hawajui )...
habari wanajf,nina simu(tecno430) kila nikidownload video yenye size kubwa kwa kutumia operamin browser inakataa,yaan haiwezi kabisa,kama kuna wataalamu humu naombeni mnisaidie maana huwa natamani...
Betri ya simu yangu imevimba mpaga mfuniko haufungi.
Sasa hadi naogopa isije ikanilipukia. Embu wataalam wa simu kujeni hapa muone namna ya kunisaidia maana hiki kimeo ndio kinachoniweka mjini!