Hivi hawa watu ni wa kuaminika? nimetaka kununua kitu kwao ila wanataka bank details moja kwa moja.
Ushauri wenu wadau
Nimenunua Vitu mara 4 ni watu RELIABLE kbs...pesa yako iko safe...Wanachofanya wanachukua kiasi ulichonunua Na itakatwa kwenye Akaunti yako kulingana na Xchange rate za benki yako...ila muhimu uwe na VISA card au Mastercard vinginevyo huwezi...
Kingine hao jamaa wanaishikilia pesa yako mpaka mzigo ufike nawe u click kama ukiupokea mzigo na uko katika Hali nzuri na Specifications ulizoziona...na pia nunua Kwa seller anayesafirishia HONG KONG POST maana China post Mizigo ni mingi wanachelewesha sana kutuma...
Buy with Confidence...Au ingia EBAY japo kule bei zao juu sana

Kwa experience yangu AliExpress ni very risky especially kwa upande wa kupokea refund!! AliExpress wanatumia njia ya malipo ijulikanayo kama 'Escrow' ambayo inakuwezesha wewe kama buyer kumlipa seller bila kuExpose particulars zako. Hii inafanya kazi kama PayPal kule Ebay. Disadvantage ya AliExpress ni kwamba, kama imetokea haujapata mzigo wako au umeupata lakini haupo kama ulivyoOrder, na ukaamua kufungua dispute, utatakiwa kuwaConvince customer support team kwa kuambatanisha proof mbali mbali za kuwaridhisha wakupe refund. AliExpress watakaporidhika kwamba haujapata parcel yako wataClose dispute in your favor lakini tatizo litakuja kwenye kuzirudisha hizo pesa. Nimeshawahi kufungua dispute na customer support wakaridhika na madai yangu lakini sikuwahi kupokea refund tokea siku walivyoniambia wataniRefund. Huu ni mwezi wa pili sasa na sioni dalili yoyote ya kurudishiwa pesa zangu.
Refund za Ebay maranyingi zinatumia kati ya siku 3 mpaka 7 ila hawa jamaa wa AliExpress ni kiboko. Ninavyohisi labda ni hiyo Escrow ndio inaleta shida zote hizo. Advantage moja kubwa ya AliExpress ni kwamba bidhaa nyingi ni bei rahisi ukilinganisha na Ebay. Pia kuna variety ya shipping methods kulingana na uhitaji na uwezo wa buyer!!
Nimepitia discussion forums nyingi kuhusu aliexpress (alibaba) nimegundua kuwa sio mimi tu, watu wengi sana wamelizwa humo. Mfano mzuri hii link ( http://resources.alibaba.com/topic/801198638/IS_AliExpress_A_SCAM_.htm ) naona raia wengi wanasema AliExpress is a Scam.
Sio kwamba namkatisha tamaa, nimeweka wazi kwamba AliExpress kwa upande wa Refund wako hovyo! Na ni kweli!Ali Express sio scammers...na kwa uzoefu huo ata Ebay nako Refund zinachelewa nime experience hiyo kitu..
Bottom line Ali express wako vizuri na Cheaper kuliko Ebay...mtandao RISK kununua bidhaa ni ALIBABA.....
acha kumtia woga Ndugu hapo juu...nimenunua vitu vingi Mtandaoni...hiyo Mitandao ya Aliexpress na EBay ni Safe kuliko yote nimewahi nunua kitu...
Sio kwamba namkatisha tamaa, nimeweka wazi kwamba AliExpress kwa upande wa Refund wako hovyo! Na ni kweli!
Wewe naona bado mgeni AliExpress, unasema mtandao risky kununua bidhaa ni Alibaba unasahau kuwa Alibaba na AliExpress ni ndugu! Alibaba hawauzi kwa Order ndogo, wanauza in large quantities. Ndio maana wakafungua AliExpress kwaajili ya kuuza vitu as low as 1 unit.
Sasa unaponunua kitu online ni vizuri ukaelewa na upande wa insurance ya pesa yako pindi usipopata mzigo. Umesema umenunua mara 4 AliExpress, siku ikitokea haujapata mzigo wako, ukiwa unahangaikia refund utakuja nikumbuka..
Duh, nshafanya manunuzi, mzigo usipofika tumbo joto
Kuna nguo nimeziona kule kwakweli zimenivutia sana yani, nikashindwa kujizuia.
bank details ndio nini na nini hizo wanazotaka? hiyo sio kawaida. sisi tufanya sana shopping lakini unalipa kwa credit au debit card au sijaelewa?? sema vitu vingi ni fake kutoka china.Hivi hawa watu ni wa kuaminika? nimetaka kununua kitu kwao ila wanataka bank details moja kwa moja.
Ushauri wenu wadau
bank details ndio nini na nini hizo wanazotaka? hiyo sio kawaida. sisi tufanya sana shopping lakini unalipa kwa credit au debit card au sijaelewa?? sema vitu vingi ni fake kutoka china.
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/662297-msaada-nimeibiwa-aliexpress.htmlHivi hawa watu ni wa kuaminika? nimetaka kununua kitu kwao ila wanataka bank details moja kwa moja.
Ushauri wenu wadau
Ali Express sio scammers...na kwa uzoefu huo ata Ebay nako Refund zinachelewa nime experience hiyo kitu..
Bottom line Ali express wako vizuri na Cheaper kuliko Ebay...mtandao RISK kununua bidhaa ni ALIBABA.....
acha kumtia woga Ndugu hapo juu...nimenunua vitu vingi Mtandaoni...hiyo Mitandao ya Aliexpress na EBay ni Safe kuliko yote nimewahi nunua kitu...
Nafahamu kifa kuwa Alibaba na Ali Express ni ndugu ila Alibaba Scammers wengi..mpaka Ebay kuna Scammers siku hizi...
Cha msingi ni kuwa kuko safe...Nimenunua Mara nyingi Ebay na mara 4 AliExpress ila kiukweli Aliexpress wako cheap...ikiwa Mtu anataka kununua Electronics mtandao mwingine huu hapa..www.Goodluckbuy.com hawa wako vizuri nimefanya nao b'ness km 7 times hivi...Ila lazima uwe na PAYPAL
Duh, nshafanya manunuzi, mzigo usipofika tumbo joto
Kama ulivyosema.
lla nimeshalipia, vikija poa. visipokuja poa tu.