jmdume45
Senior Member
- Jun 10, 2016
- 162
- 67
Habari zenu wakuu.. Nmeapply google adsense... Wakaipitia property yangu...then kuna code nlipewa niiweke kwenye header tags ili waifanyie review website yangu... Nikafanya hivyo...Sasa nashangaa kila nikilog in naambiwa bado wafanya review na watanijulisha baada ya siku tatu wakishamaliza rewiew process... Sasa sijaelewa kwa nyie wazoefu wa hii kitu..hii process ya review huwa inachukua muda gani?!...maana naona ni zadi ya wiki mbili naambiwa hivo hivo tuu...
Kwa wale wataalamu wa hii kitu hivi kuna dalili yiyote ya kuwa aporoved hapo?...naombeni msaada hapo wakuu..
Kwa wale wataalamu wa hii kitu hivi kuna dalili yiyote ya kuwa aporoved hapo?...naombeni msaada hapo wakuu..
