Firmware za dstv

Kurt godel

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
319
174
Habari wakuu Nina shida kidogo natumaini ya kuwa mtakuwa Na msaada.Kuna MTU yeyote ambae anajua mahali naweza pata OS za dstv au firmware zake ??
 
Labda ufanye reversing mwenyewe kwa kutumia JTAG interface, vinginevyo hicho kitu nafikiri hakiwezekani sababu inawapa Room hackers ku analyse hizo firmware na kuja na mbinu ya kuwachakachua!

Sidhani kama DSTV wamelala kiasi hicho kuweza kukupa firmware yao,ningeshauri kama una damaged device uwacheki labda wana utaratibu wa kuzitibu wao wenyewe au kukubadilishia
 
nimeziona port za UART Ndo natufata kifaa cha kifaa cha Usb-to-ttl niweze obtain access maana naona firmware wameibana kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom