Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hapo kuna info kazaa nimefuta lakini kuna mtu amekuwa akinifuatilia kwa miaka saba mpaka amefikia hatua za kujipa full control ya computer yangu katika kipindi cha miaka nane ameshaharibu computer kadhaa katika kulazimisha kuona nafanya nini. Kwa wasio elewa mambo ya IT hizo sura mbili maana yake computer imewekwa kwenye network sijaweka full administrator name aliyojipa kwa sababu zangu.
Sawa atukatai kuna umbea lakini unaweza kumfuata mtu kiasi hicho mpaka ufikie hatua za kuamua kujipa full control ya computer ya mtu haya kweli sio matatizo ya akili.
Inawezekana mtu akijitetea kwa wengine its in their interest na akawaunganisha kutetematatizo yake kuona system ya mtu mwengine ambae ni kilaza apparently really unaweza kumfuata mtu kiasi hiki kweli bila ya kuwa na matatizo.