Msaada: Naashindwa kudownload video kubwa kwenye simu yangu

The River

Senior Member
Dec 27, 2015
128
83
habari wanajf,nina simu(tecno430) kila nikidownload video yenye size kubwa kwa kutumia operamin browser inakataa,yaan haiwezi kabisa,kama kuna wataalamu humu naombeni mnisaidie maana huwa natamani sana kushusha movie nzuri lakini nashindwa.natanguliza shukrani zangu
 
9c9e0b2277e91eba4fd8ce85775d81ea.jpg

Simu yenyewe ndio kama hii au tofauti.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom